Hivi kuna second leg?? Au ndio liverpool hana chakeBRIGHTON anajua kumbandua Liverpool
Kasepa huyoHivi kuna second leg?? Au ndio liverpool hana chake
Hahahahahaaaaaaaa! Subiri mwakaniHivi kuna second leg?? Au ndio liverpool hana chake
Punda mpira umewashinda wakaamua kuanza kupiga mateke wachezaji wa Brighton.BRIGHTON anajua kumbandua Liverpool
Hiyo ndiyo kwaheri mwalimu! Liverpool tumekuwa timu ya kawaida sana! Mwaka huu wala hatumo kwenye mashindano! Tukipata nafasi kwenye top 4 yatakuwa maajabu ya dunia! Brighton kametupiga kotekote!Hivi kuna second leg?? Au ndio liverpool hana chake
Liverpool wamekuwa kibogo, msimu huu wamegeuka kuwa kibonde wa Braiton 😁😁😁🤣BRIGHTON anajua kumbandua Liverpool










Hahaha mount hapana njoo umchukue Loftus Cheek![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nipe Mount kwa bei ya discount...
Pulisic is body made of American biscuits..
Ziyech EPL is too big for him.
YNWA
Allison ameingiaje?
Hata ujao unaweza kuwa mgumu zaidi ya huu piaTujipange msimu ujao,tushapotea![]()




