Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

NEW: AS Monaco sporting director Paul Mitchell was at Anfield for the game against Southampton in November, and is believed to be one of the front-runners to replace Julian Ward at Liverpool in the summer. #lfc [jacque talbot]

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂😂Kazi ipo
Screenshot_20230128_000409_com.android.chrome_edit_684870513179346.jpg



YNWA
 
Kwa kuumia Partey mambo kwenu sasa si mazuri sana bila kuingia sokoni...

Huyu Caiceido atawasaidia sana kusaka taji la EPL.. anaijua EPL hivyo naona impact kama ya Trossard.

YNWA
Partey yupo fit , tunamuhitaji anagalau mechi 15 tu zinamtosha,

Caicedo tukimpata atatusaidia ,shida ipo kwa Brighton wamekaza sana
 
Partey yupo fit , tunamuhitaji anagalau mechi 15 tu zinamtosha,

Caicedo tukimpata atatusaidia ,shida ipo kwa Brighton wamekaza sana
Kumbe ilikua mstuko hajaumia.. Habari njema sana hizo.

Brighton washajua Chelsea na Arsenal mpo desperate ndio maana wakaona uwe mnada.. Sasa wanataka auzwe 100m na si vinginevyo lakini kwa sababu dogo mwenyewe ashasema anawahitaji Gunners basi Brighton hawana namna pia ukizingatia mkataba wake bado miaka 2 tu uishe ni bora mapema wachukue chao.

YNWA
 
Jamani yani hadi game za FA nazo mnasubiri mechi iishe ndio mje kujadiri mechi....?

Ama kweli zama zinabadirika maana hatujazoea kuona hili jukwaa limepoa namna hii, muda huu ingekuwa ni mwendo wa lugha ya Malkia tu ila saizi mnaishia kupost Lineup tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom