Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Chugga man hawa wote na wengine wengi walipita hapo darajani na kwa bahati nzuri kwetu na Kipara 😂😂hamkuona umuhimu wao.
YNWA
YNWA
Mitano Tena kwa KloppView attachment 2477851
Klopp hua ni mgumu kuelewa.. Yaaani unawatoa aje Mane na Gini real steal ya timu na kuwabakisha akina Kieta, Ox, Milner, Henderson yaaani hii kitu sitokaa nielewe hata iweje.. Akatoka hapo akasajili Thiago mgojwa kama new idea ya MF another unwanted move by Klopp...
Pamoja na sifa wanaozopata hii Committee ya usajili kwa kuona vipaji kwa bei chee nao wamefanya makosa mengi tu kimkakati klabuni kuanzia ishu ya Gini, Usajili wa Thiago na kuuzwa Mane hizi zote hakika ilikua move zinazotufikisha tulipo sasa.
Kuanzia Edwards na sasa Ward wote hawa wamechangia kuturudisha nyuma kama timu.
YNWA
Bull crapTatizo la kutojua football hili
Haya mlinganishe na Haalland wanaocheza nafasi moja
Kiingereza chote cha nini ndugu?Bull crap
You know soccer?
Stats, impact, comparative analysis
Kumbe unazungumzia soccer, haya nenda uko MLSBull crap
You know soccer?
Stats, impact, comparative analysis
Naona umeishiwa hojaKumbe unazungumzia soccer, haya nenda uko MLS
Anakuja kupunguza hasira humu hivi pale Uingereza kuna timu ambayo imefanya usajili horera msimu huu kama Chelsea?Naona umeishiwa hoja
😂 😂 😂 😂 😂 Yumo tena sanaaa.... Aliodoka Buvac.. Akaodoka Edwards na sasa anaodoka Ward lakini mwamba yupo ngangari anasonga mbele.Mitano Tena kwa Klopp
Ukute 2028 ataongeza tena mkataba![]()
![]()
![]()
![]()
Yumo tena sanaaa.... Aliodoka Buvac.. Akaodoka Edwards na sasa anaodoka Ward lakini mwamba yupo ngangari anasonga mbele.
YNWA

Pain killer pain killer zake hazijamsaidiaNaona Cytzens walilowa
2-0 against Southampton
@View attachment 2478310
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Nilitaka kum tag muda ukawa mchachePain killer pain killer zake hazijamsaidia
Safi sana
Mama cita makubwa jinga ya katikati ya wiki😂😂Nilitaka kum tag muda ukawa mchache
Klopp ni synonym na modern LFC😂 😂 😂 😂 😂 Yumo tena sanaaa.... Aliodoka Buvac.. Akaodoka Edwards na sasa anaodoka Ward lakini mwamba yupo ngangari anasonga mbele.
YNWA
Jukumu letu lilikuwa kuwafungashia virago livapunda tukamaliza...hilo kopo tumewaachia matakataka manyumbu.Mama cita makubwa jinga ya katikati ya wiki
Man city wanataka high energy na pressing hukoNaona Cytzens walilowa
2-0 against Southampton
@View attachment 2478310
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app


NyooJukumu letu lilikuwa kuwafungashia virago livapunda tukamaliza...hilo kopo tumewaachia matakataka manyumbu.
sisi tunaenda kupiga trebo ya UEFA EPL na FA..
Achana na sisi buana tuna mahesabu makali sana.