Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,559
- 6,564
View attachment 2463901
π π π π Kwa jina lake ni Captain Chaos. Full mishe hapoi wala nini mpaka kieieleweke. Pale Aston Villa alifanya yake na leo pia.
Klopp anasema impacts matters.
YNWA
Soon utasikia amempita hayati Pele kwa magoli
Henderson ni mtoto pendwa hua haguswi na hao wachambuzi wazawa jamaa wanajua kulindana sana.Atoe neno lolote kwa captain wa team kabla ya Nunez.
Anazingua kinoma, leo atakula matusi ya aina yote kwenye social mediaHenderson ni mtoto pendwa hua haguswi na hao wachambuzi wazawa jamaa wanajua kulindana sana.
Leo hakika Le Captain amemrahishishia kazi Julian Ward umuhimu wa kusajili kiungo Liverpool.
YNWA
Soon utasikia amempita hayati Pele kwa magoli
π π π π Hakuna namna.Anazingua kinoma, leo atakula matusi ya aina yote kwenye social media
Tumeshamsajili mwalimu wa Haaland, akianza tu January tuitamfundisha namna ya kuchenga, kuassist na kufunga. Huyo Haaland yeye anajua tu kuvizia na kutumbukiza, Baba lao anakuja January na uhaba wa magoli itakuwa historia. Na pia unasikiliza News za Chelsea, tunamleta Enzo wakichanganyika na kizazi kipya tuliowasajili kwa Chelsea kila goti litapigwa, na kila ulimi utakiri kuwa EPL is BlueView attachment 2463900
Mkuu lembu hivi hii kweli ama namna gani.
Nadhani utaona kufunga sio jambo rahisi eti...
YNWA
Kumbe kweli Haaland ana magoli mengi EPL kuliko magoli ya Chelsea duuh mbona Sterling, Kai, Mount na wengine wanamshindwa kumpiku huyu mwamba haha just kidding ukweli ni kweli Darajani ishu ya strika wa kutegemewa imekua ni tatizo kubwa kwa muda tu tazama Lukaku na sasa Auba na bado magoli yamekauka... Sawa ngoja aje buyo Mnyamwezi tuone mtakaa aje.Tumeshamsajili mwalimu wa Haaland, akianza tu January tuitamfundisha namna ya kuchenga, kuassist na kufunga. Huyo Haaland yeye anajua tu kuvizia na kutumbukiza, Baba lao anakuja January na uhaba wa magoli itakuwa historia. Na pia unasikiliza News za Chelsea, tunamleta Enzo wakichanganyika na kizazi kipya tuliowasajili kwa Chelsea kila goti litapigwa, na kila ulimi utakiri kuwa EPL is Blue
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ili beki jinga sana limeamua limalize lenyewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vijana wa hovyo mmenifanya nicheke kifala [emoji1787][emoji1787]Pumbavu zake Faes, amebeti liver anashinda goli 3, hivyo kipindi cha pili liver wasipofunga atamalizia mwenyewe hilo goli halafu ataondoka uwanjani na mpira wake baada ya kupiga hatrick.
Bobby bdo tunamuhutaji aisee, msim huu yupo fireeee [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2463871
Mnasema aje Bobby asaini nyongeza mpaka 2025 ama asepe zake June 2023 bure.
YNWA
My favourite players [emoji7]Once upon time in Liverpool [emoji7] [emoji7] [emoji7]
View attachment 2463861
El Nino akiwa na Kapten Fantastic.
YNWA