Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hao ipo siku yao tutawatuliza tu saiv tunamalizana wenyewe kwa wenyewe kwanza.

Asante kwa mualiko
No worries.... Liverpool na Manchester United ni sleeping giant hivi tuliruhusu vipi akina OllaChuga Oc na Pain Killer waingilie huu uflame maana siijui hata walitokea wapi na timu zao za 2003 onwards na imekua balaa soon hata hii rekodi ya Epl 20 haina miaka 15 mbele hawa Manchester City wataipiku tu wanakuja mdogo mdogo sasa wana 8 bado 12 tu aisee itabidi kwa kweli hizi timu ziuzwe tu hakuna namna Kipara na Mansour hawatanii kwenye ubora wanatoa mishahara ambayo hatuwezani dogo Erling Haaland anakula 400k kwa wiki ukiweka bonus zake zote tetesi ni kwamba dogo anakula 865k kwa wiki usione hii smile yake uakdhani ni kufunga tu
Screenshot_20221229_192209_com.android.chrome_edit_647638077468883.jpg

Bila hawa wakongwe kuuzwa hakuna namna huyu Pep kwa kweli tunyanyue mikono maana ana balaa sio la dunia hii unaweza kulipa mshahara huo kwa mchezaji mmoja tetesi mwaka huu dogo Haaland atafikisha £45m kwa mshahara na marupurupu yake😀😀 kwa dunia yupo nambari 3 kwa mshahara akitanguliwa na namba moja Mbappe na namba mbili Messi .. Kwa sasa piga maombi Glazer wapate mteja wasepe ndio utakuwenda sawa na Kipara aisee.

YNWA
 
Yule wa Morocco,Amrabat vip?wameachana na mpango wa kumsajili?
Bhana hii Liverpool mambo ni chini ya kapeti, Klopp alishasema wanaingia sokoni kuimarisha kikosi, huu usajili wa Cody haukua kwenye mpango lakini kwa sasa tuna forward wawili tu wazima Salah na Nunez hivyo Klopp akalazimika kuingia sokoni kwa kua Diaz, Jota, Firmino ni wagonjwa... Hii inaonyesha mwalimu hana imani na uzima wa Chamberlain ambae ni RW "mzuri" tu nwa usajili sasa tusubiri dirisha lifunguliwe ndio tutaona ni vipi nani atatua wapo wengi wanatajwa MF ni dirisha fupi hivyo tutajua tu kama FSG watafanya kweli ama watafanya uhuni maana hawatabiriki.

YNWA
 
Football ina hela sana hasa hao mabosi wa man city na psq si wa mchezo. Si ndo hawa hawa wametumamishia mbuga zet kitu kopirait kule dubai. Pesa ni kila kitu aiseee. Hapo city kabisa kikombe cha UCL tu.

Timu zetu kasi imepungua sababu ya ubahili,wakifungua mifuko hasa ligi itakua kali sana
No worries.... Liverpool na Manchester United ni sleeping giant hivi tuliruhusu vipi akina OllaChuga Oc na Pain Killer waingilie huu uflame maana siijui hata walitokea wapi na timu zao za 2003 onwards na imekua balaa soon hata hii rekodi ya Epl 20 haina miaka 15 mbele hawa Manchester City wataipiku tu wanakuja mdogo mdogo sasa wana 8 bado 12 tu aisee itabidi kwa kweli hizi timu ziuzwe tu hakuna namna Kipara na Mansour hawatanii kwenye ubora wanatoa mishahara ambayo hatuwezani dogo Erling Haaland anakula 400k kwa wiki ukiweka bonus zake zote tetesi ni kwamba dogo anakula 865k kwa wiki usione hii smile yake uakdhani ni kufunga tu
View attachment 2462487

Bila hawa wakongwe kuuzwa hakuna namna huyu Pep kwa kweli tunyanyue mikono maana ana balaa sio la dunia hii unaweza kulipa mshahara huo kwa mchezaji mmoja tetesi mwaka huu dogo Haaland atafikisha £45m kwa mshahara na marupurupu yake😀😀 kwa dunia yupo nambari 3 kwa mshahara akitanguliwa na namba moja Mbappe na namba mbili Messi .. Kwa sasa piga maombi Glazer wapate mteja wasepe ndio utakuwenda sawa na Kipara aisee.

YNWA
 
Football ina hela sana hasa hao mabosi wa man city na psq si wa mchezo. Si ndo hawa hawa wametumamishia mbuga zet kitu kopirait kule dubai. Pesa ni kila kitu aiseee. Hapo city kabisa kikombe cha UCL tu.

Timu zetu kasi imepungua sababu ya ubahili,wakifungua mifuko hasa ligi itakua kali sana
Ubora wa wamiliki Waarabu ni kwamba wao kununua timu ni kama kununua toy tu sio kama Yankees kama Glazer, Kroanke, FSG nk ambao Klabu inawanufaisha wao zaidi na zaidi kuliko klabu kunufaika na uwekezaji uchwara kutoka kwao.

Kwa ukubwa wa Manchester United kama klabu na brand yenu ilivyo marketable ilitakikwa muwe mpo full raha mnajibebea ubingwa left and right....

Pep hapoi mpaka ashinde UCL na Manchester City atasajili hata Messi na Ronaldo kwa pamoja kama ndio watampa hilo kombe😂😂😂...

YNWA
 
Screenshot_20221230_020129_com.android.chrome_edit_690501117262864.jpg

Soon Klopp atakua loaded kama kipara itakua mwendo kata mti panda mti... Toa Diaz weka Cody yaaani mambo ni bam bam na hii pia ni kwa hisani ya kuruhusu sub 5 haha ndio Maana Klopp alikomaa sana waruhusu sub 5 tangu zamani wenye Ligi Yao wakawa wanamgomea sasa walivyo kumbali mambo ni kama mnavyoona.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom