Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nunez tumepigwa mazee
9 goals and 3 assists in 17 games, thats 12 G/A in 17 games.

Gabriel Jesus has scored how many goals kwenye his 23 games appearances?

Rashford ndiyo Man United top scorer kwenye PL, with FOUR goals, na ame accumulate 15 G/A kwenye his 25 games appearances mpaka sasa

What about Sancho?

What about Aubameyang? Havertz?

Striker ambaye ana 12 G/A kwenye games 17 mpaka sasa, akicheza as a LW kwenye team ambayo ina-struggle vibaya now, hapewi nafasi ya ku-adjust, its absurd.

LFC fans inasikitisha kuona kila kukicha mnakuwa mnatafuta njia za kum-bash Nunez ili ku-prove your points, hamjui au mnajifanya hamuoni how bad our team ilivyo right now, we are 6 in the table na mpaka sasa Klopp anabadilisha shapes/formations kila games, hatuna identity, tuna-approach games kulingana na wachezaji watakaokuwepo kwa wakati huo.
 
He's not an €85m striker.
So hiyo price amejiwekea yeye mwenyewe?

Jude ana worth 130m?

Enzo ana worth 120m

Caicedo ana worth 60m-80m?

What about Gakpo?

Nkunku?

Gvardiol?

Grealish ana worth 100m?

Nunez had a breakout season msimu uliopita, same kwa 90% ya players niliowataja hapo na wote wanatoka kwa 80m+

Thats how the market inavyoenda now, zama za kununua na ku-gamble kwa 38m ili kupata world beaters kama Salah hazipo, we paid 45m kwa Diaz, impact gani aliyoleta kuzidi ile ya Mane na Salah? Diaz is a good player but hawezi kufika nusu ya level za Mane/Salah na tumelipa. kiasi kikubwa kuliko kile tulichotoa kwa kina Salah, thats how football works, hakuna certainity kabisa.

Nunez hakujiwekea hiyo price tag, Benfica walitumia mihemko ya LFC kama hole ya kibiashara, nothing wrong with that.

we sold Coutinho for 145m to Barcelona.

Its business, you're an educated person, it should be easy to understand.
 
You want a young striker (19-23) ambaye kwa msimu amefunga goals 25+ kwenye top 5-6 european leagues, utahitajika ku-pay up big time.

Madrid wamemaliza deal juzi ya Endrick, kid ambaye hajawahi hata kukugusa nyasi za ulaya, 70m kwa a 16 year-old kid.
 
I don't know mind yake ina shida gani kwenye goli
9 goals in 17 games

Sidhani kama mind inashida, tatizo alilonalo sasa ni confidence tu, na huwa inatokea kwa kila mchezaji, imetokea kwa Mane, imetokea kwa Salah, ilitokea kwa Suarez, ilitokea kwa Jota, ilitokea kwa Firmino etc, na hawa hili tatizo liliwatokea wakiwa tayari wamesha-stamp majina yao mbele ya opponents goals, ni suala la kawaida kwenye mpira.

na Nunez anacheza as a LW at LFC.
 
You're a LFC fan.
Yap I was joking

Naelewa anachopitia I absolutely know
 
1. United ni one of the most interesting projects right now, they've got a young and ambitious manager ambaye ana clear vision, Enzo can develop at United, ETH is a good coach, na kama akiwa solid na project anayotaka kuitengeza ETH at United, sidhani kama atakataa, plus itakuwa ni big advantage kwa United, kama LFC, City, Madrid wakishindwa kukubaliana na Benfica, United inaanza kuwa solid project now baada ya kupitia changamoto nyingi za usimamizi, hii denial tuliyonayo tuachane nayo.

2. If anything, ile interview ya Ronaldo imeharibu zaidi reputation yake kuliko United/ETH, na zaidi imeonesha kuwa ETH can manage "egos", na kwa shabiki yeyote yule anayeangalia mpira, ataelewa kuwa United wapo kwenye mikono salama na project yao ina-mature chini ya ETH, hence Ronaldo alikuwa hana nafasi tena, kama nilivyosema itakuwa ngumu sana kwa united kutengeza team from the scratch, but ETH vision is so clear, and the last thing i needed as a united hater ni wao kumu-hire ETH, atafanya vizuri at United, Time is a good healer.

3. Habari ya United kutaka ku-trigger RC ya Enzo, sijaitoa kwa hiyo source, i dont even know that source.

4. Glazzers wanachotaje hela kwenye A/C za club? Board inawazuaje Glazzers kuchota pesa kwenye A/C za club? ni saving A/C? suala la kuzuiwa na board kuchota pesa ina maana kuwa Glazzers wana direct link na A/C za United/business entity? how? then £24m tu? ndiyo ipo kwenye A/C ya MANCHESTER UNITED? are you hearing yourself? hii ni aina gani ya A/C?

5. United wanatumia RCF model kupitia BOA (Bank Of America), kila wanapotaka ku-make big signings, na sometimes siyo. lazima kwao kabisa kama Broadcasting, matchday & retail revenues zinakuwa zimejipa vizuri, RCF wanatumia sana kwenye emergency situations or kwanye big "pocket" signings, guess Sky Kaveh alikuwa anahitaji kuwaeleza hiyo loan inafanyaje kazi pamoja na applicability yake, and hakuna big (record) signings ambazo zinafanyika bila LOANS, unless uwe FSG (Sell 3 players to buy 1 big signing) ambayo ni very bad & terrible model.

United as a Company went public in 2012, na ni one of the very few clubs kama siyo wao tu, kuwa registered kweny NYSE (New York Stock Exchange) kitu ambacho big bonus kwa Glazers na kwa United at Large, United ni big LFC rival, but i've admitted mara nyingi sana kuwa ni one of the most biggest brands kwenye dunia ya michezo, na wamejizatiti heavy kwenye business placements, ni club pekee pale UK ambayo inayoweza ku-turn in billions of shillings kwenye revenues (broadcating, matchdays, merchandises etc) bila CL wala trophies zozote, mwezi wa sita mwaka huu kwenye report yao ya fedha wameingia zaidi ya £500m revenues, ukiachana na deni lao kubwa, what makes you think watashindwa ku-trigger RC ya Enzo? BOA hawatotoa mkopo? other banks (England, China, UAE, USA etc) hawatowapa mkopo? nani atakataa kwa hizo numbers za REVENUES? you think why Madrid wanapata kiburi cha kutoa 70m kwa a 16 year-old kid? Barcelona walijaharibia big time, na tumekuwa tukisubiri United wajiharibie kwa kipindi. gani mpaka sasa? from Di Maria, to Pogba, to Sancho, to Ronaldo, but the brand is still strong.

They want Gakpo now, you think PSV will settle for less? they were ready to pay up to 90m for De Jong, kitu gani kitawashinda kwa Enzo? a 21 year old with the whole world ahead of him?

United wont be "bad" for too long.
Umeongea kitaalamu Sana (hat off)
 
Ogopa sana wachezaji wanaovumia kwenye tournament.
Enzo ni mzuri before hata ya world cup, yani kama umemfaham Enzo katika world cup hapo sawa, World Cup imekuja kuwapa jina tu ila hata kabla ya world cup Enzo tayar aahaonekana ni kiungo mzuri sana ni kama Gvardiol world cup ndio imemtambulisha rasm kwa watu
 
Hivi Argentina ingeishia makundi unadhani kuna mtu angemuimba sana Enzo? Hii tournament ndio imempaisha zaidi hapo kuna mtu ataenda kupigwa za kutosha.
Huyo inabidi acheze tena msimu mwingine ndio atu prove
 
Mkuu before hata world cup vita ya enzo ilikuwa ishaanza na RC imewekwq tangu aliposajiliwa, city walimscout wakaopt wakamchukua Alvarez

Unless hufatilii habar za tim zingine ndio unaweza ukawa humjui or unawatch liverpool games tu,
 
Nikweli Enzo mzuri ila wewe Enzo umemjulia wapi ? Maana benfica ana miezi minne tu toka atoke River plate ,na wote wawili na Alvarez walikuwa wanapatikana jumla kwa €30m ,

Kwa hiyo Sababu City walimskauti ,Basi unadai alikuwa mzuri

Kumbuka kwanza hapo benfica ana miez minne na toa mmoja aliokuwa Qatar

World cup ndio limemtambulisha rasmi Hilo msikatae japo Mwanzon mwa world cup alishaanza kutajwatajwa
 
Enzo sijamjulia kwa world cup, tetes za kutakiwa hazijaanza leo, kama uko twitter tetes za Enzo kutakiwa na Hizi tim hazijaanza kwenye world cup

If unasoma habar za ligi zote utakutana na haya majina ya kina Enzo le fee,Julian Wirtz,Koudao Kone,Vitor Roque,,soon watu wataanza kuyaimba ni swala la mda tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom