Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hata kwenye washambuliaji wa pembeni
Daraja la kwanza
Messi
Neymar
Mo salah
Mane
Cristiano

Daraja la pili
Sane
Rashford
Bukayo saka
Kai haverts
Son
Mahrez
Bernado
Nk

Daraja la tatu
Diaz
Grealish
Anthony
Martial
Coman
Joao felix
Osmane dembele
Nk

Nk
 
Erik ten Hag on Cody Gakpo and his World Cup performances: “There were many, many good players in the World Cup…”. #MUFC

Big smile on his face, then Erik ten Hag again: “Van Nistelrooy says there’s a point when you can’t say no to bids? You can say that for many players!”.

Huu ni ukweli kabisa
 
Manchester United are ready ku-trigger release clause ya Enzo Fernandez (€120m)

It will be up kwa Enzo kukubaliana na United.

Once again, ni kuombea Enzo aikatae United.

and, once again, FSG are failing us.
 
Eti nmesikia Man City jana mmempea ile style ya mbuzi kagoma, akawasokomeza bao 3 hivi ni kweli au mashabiki tu wa Arsenyani wanawasingizia?
Na Darwin Nunez eti nae kapiga Hatrick, lakini goli zote 3 kafunga nje ya goli, kuna ukweli wowote au hizo ni chuki tu za Manyumbu Fc dhidi ya Liverpussy mpaka wameamua kuwazushia?
End of an error.
@flano lugha lugha lugha
 
Manchester United are ready ku-trigger release clause ya Enzo Fernandez (€120m)

It will be up kwa Enzo kukubaliana na United.

Once again, ni kuombea Enzo aikatae United.

and, once again, FSG are failing us.
FSG hawana hela
Wanategemea wauze timu basi
 
Manchester United are ready ku-trigger release clause ya Enzo Fernandez (€120m)

It will be up kwa Enzo kukubaliana na United.

Once again, ni kuombea Enzo aikatae United.

and, once again, FSG are failing us.
Mchezaji mwenye future ya kipaji chake hawezi kukurupuka kwenda man u kwa Sasa

Ile interview ya cr7 pia imewaachia damage man u ,Ni kana Kwamba Cr7 anawaambia wachezaji man u sio sehemu salama pa kwenda

Halafu hiyo habari kuwa man u wanataka ku trigger Release clause ina ukakasi Sana ,kaitoa Bruno Andrade , huyu haaminiki

Mwezi uliopita The Grazzer family walitaka kuchota pesa kwenye account ya man u wakazuiwa na Bodi , inasemekana Kuna cash £24m

Hivo watasajili kwa loan kwa kipind hiki taarifa hii aliitoa Sky kaveh wa sky sport

Manchester United bought players for £218 million in the 3 months from 1 July 2022, but the Glazers used the club credit card to do this as total amounts owing in outstanding transfer instalments to other clubs is a PL record £306 mill. Total cost of squad is £989 million #MUFC

Manchester United cash balance fell from £121m at 30 June 2022 to £24m at 30 September
IMG_20221224_232305.jpg
 
Manchester United are ready ku-trigger release clause ya Enzo Fernandez (€120m)

It will be up kwa Enzo kukubaliana na United.

Once again, ni kuombea Enzo aikatae United.

and, once again, FSG are failing us.
Ogopa sana wachezaji wanaovumia kwenye tournament.
 
Mchezaji mwenye future ya kipaji chake hawezi kukurupuka kwenda man u kwa Sasa

Ile interview ya cr7 pia imewaachia damage man u ,Ni kana Kwamba Cr7 anawaambia wachezaji man u sio sehemu salama pa kwenda

Halafu hiyo habari kuwa man u wanataka ku trigger Release clause ina ukakasi Sana ,kaitoa Bruno Andrade , huyu haaminiki

Mwezi uliopita The Grazzer family walitaka kuchota pesa kwenye account ya man u wakazuiwa na Bodi , inasemekana Kuna cash £24m

Hivo watasajili kwa loan kwa kipind hiki taarifa hii aliitoa Sky kaveh wa sky sport

Manchester United bought players for £218 million in the 3 months from 1 July 2022, but the Glazers used the club credit card to do this as total amounts owing in outstanding transfer instalments to other clubs is a PL record £306 mill. Total cost of squad is £989 million #MUFC

Manchester United cash balance fell from £121m at 30 June 2022 to £24m at 30 SeptemberView attachment 2457156
1. United ni one of the most interesting projects right now, they've got a young and ambitious manager ambaye ana clear vision, Enzo can develop at United, ETH is a good coach, na kama akiwa solid na project anayotaka kuitengeza ETH at United, sidhani kama atakataa, plus itakuwa ni big advantage kwa United, kama LFC, City, Madrid wakishindwa kukubaliana na Benfica, United inaanza kuwa solid project now baada ya kupitia changamoto nyingi za usimamizi, hii denial tuliyonayo tuachane nayo.

2. If anything, ile interview ya Ronaldo imeharibu zaidi reputation yake kuliko United/ETH, na zaidi imeonesha kuwa ETH can manage "egos", na kwa shabiki yeyote yule anayeangalia mpira, ataelewa kuwa United wapo kwenye mikono salama na project yao ina-mature chini ya ETH, hence Ronaldo alikuwa hana nafasi tena, kama nilivyosema itakuwa ngumu sana kwa united kutengeza team from the scratch, but ETH vision is so clear, and the last thing i needed as a united hater ni wao kumu-hire ETH, atafanya vizuri at United, Time is a good healer.

3. Habari ya United kutaka ku-trigger RC ya Enzo, sijaitoa kwa hiyo source, i dont even know that source.

4. Glazzers wanachotaje hela kwenye A/C za club? Board inawazuaje Glazzers kuchota pesa kwenye A/C za club? ni saving A/C? suala la kuzuiwa na board kuchota pesa ina maana kuwa Glazzers wana direct link na A/C za United/business entity? how? then £24m tu? ndiyo ipo kwenye A/C ya MANCHESTER UNITED? are you hearing yourself? hii ni aina gani ya A/C?

5. United wanatumia RCF model kupitia BOA (Bank Of America), kila wanapotaka ku-make big signings, na sometimes siyo. lazima kwao kabisa kama Broadcasting, matchday & retail revenues zinakuwa zimejipa vizuri, RCF wanatumia sana kwenye emergency situations or kwanye big "pocket" signings, guess Sky Kaveh alikuwa anahitaji kuwaeleza hiyo loan inafanyaje kazi pamoja na applicability yake, and hakuna big (record) signings ambazo zinafanyika bila LOANS, unless uwe FSG (Sell 3 players to buy 1 big signing) ambayo ni very bad & terrible model.

United as a Company went public in 2012, na ni one of the very few clubs kama siyo wao tu, kuwa registered kweny NYSE (New York Stock Exchange) kitu ambacho big bonus kwa Glazers na kwa United at Large, United ni big LFC rival, but i've admitted mara nyingi sana kuwa ni one of the most biggest brands kwenye dunia ya michezo, na wamejizatiti heavy kwenye business placements, ni club pekee pale UK ambayo inayoweza ku-turn in billions of shillings kwenye revenues (broadcating, matchdays, merchandises etc) bila CL wala trophies zozote, mwezi wa sita mwaka huu kwenye report yao ya fedha wameingia zaidi ya £500m revenues, ukiachana na deni lao kubwa, what makes you think watashindwa ku-trigger RC ya Enzo? BOA hawatotoa mkopo? other banks (England, China, UAE, USA etc) hawatowapa mkopo? nani atakataa kwa hizo numbers za REVENUES? you think why Madrid wanapata kiburi cha kutoa 70m kwa a 16 year-old kid? Barcelona walijaharibia big time, na tumekuwa tukisubiri United wajiharibie kwa kipindi. gani mpaka sasa? from Di Maria, to Pogba, to Sancho, to Ronaldo, but the brand is still strong.

They want Gakpo now, you think PSV will settle for less? they were ready to pay up to 90m for De Jong, kitu gani kitawashinda kwa Enzo? a 21 year old with the whole world ahead of him?

United wont be "bad" for too long.
 
Ogopa sana wachezaji wanaovumia kwenye tournament.
Man city tried to sign him akiwa River Plate, but they decide kumchukua Julian.

Ragnick (akiwa United) aliwaambia United wam-sign bwana mdogo akiwa River plate, but United kama zilivyo clubs kubwa zote za UK, walidharau.

Ward (LFC sporting director), alipeleka profile lake kwa klopp, but we were too focused na Tchouameni.

Benfica got him for €18m tu, na wakaweka RC ya €120m maksudi, na kama unaangalia games za LFC tu CL sidhani kama ulikuwa ukimuona akienda toe to toe za World class MFs wa PSG na Juventus kwenye makundi, and Benfica topped this group.

6 months ago he was in River Plate, but now he's the most wanted young MF in europe, na kama unafatilia threads humu, huyu tumeanza kumuongelea WAY BACK, kabla hata ya WC, na tulisema akiwa na good World Cup itakuwa tabu kumpata.

He's 21.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom