Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Eti baba yake Neymar kazidiwa miaka na Neymar 😂😂😂😂Baba yake Neymar wa sasa hivi kampita umri mpaka Neymar mwenyewe ujue 😂😂😂😂
Aloooo🤣🤣🤣🤣
Dunia ipo mbio
Eti baba yake Neymar kazidiwa miaka na Neymar 😂😂😂😂Baba yake Neymar wa sasa hivi kampita umri mpaka Neymar mwenyewe ujue 😂😂😂😂
Komaa kwa dogo maana mpaka leo anaishi kwa Mama yake. 😃😃😃Khaaa😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Au na mimi nikomae na dogo?
Aisee kipindi kile ningekuwa nashinda sana humu ndani ningemuomba connection MosDef .
Nilikuwa nampenda huyu mtoto acheni tu.
Familia Yao mahandsome hatari,,Kuna kakake mwingine wanayefatana yaani Mungu fundi.
Tujikite tu Kwa Joel..
MosDef tenda muujiza kaka.
Huyu mtoto wa mama simuwezi.Komaa kwa dogo maana mpaka leo anaishi kwa Mama yake.![]()


Hahahahaha watu wa nyanda za juu kusini kweli kazi kazi. watoto Mchele Mchele kama TAA ni shombo tupu. 😂😂😂Huyu mtoto wa mama simuwezi.
Mwanaume anakuwa mzuri namna hiyo kuliko hata sisi dada zake,,hapana Kwa kweli.
Tunataka mashababi kama Matip vile![]()
Ati kaktoto kama kaTrent si ntakaonea jamani😁Hahahahaha watu wa nyanda za juu kusini kweli kazi kazi. watoto Mchele Mchele kama TAA ni shombo tupu. 😂😂😂
Kwa hio sera ya boss wenu ya kuuza wachezaji halafu hela inayopatikana ndio mfanye usajili?Hivi huyu Mbappe kwanini asitue tu Liver chama kubwa?
DahMbappe
View attachment 2452440
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app





Wewe unatuonaje?Kwa hio sera ya boss wenu ya kuuza wachezaji halafu hela inayopatikana ndio mfanye usajili?
Mtajikuta mmeuza nusu ya wachezaji wa first 11 halafu bado pesa haitoshi ya kumsajili Mbape![]()
Wewe unatuonaje?
Unadhani tunashindwa kununua bila kuuza?



sio kwa hao matajiri wa Fenway Sports Group (FSG) Sisi tuna hela wewesio kwa hao matajiri wa Fenway Sports Group (FSG)
Hao Wamarekani wenu wanaangalia faida kwanza, tena kwa hasara waliyoipata kwa Manunu sidhani kama dirisha dogo watasajili mchezaji yoyote.

Pole my dear!Najua ameoa
Nampa hi tu kama shabiki wake kindakindaki
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Asante sanaPole my dear!
Ndio kale kanyonyoma kalikokwiva mapema usoni kama kamebanikwa?HAALAND Huyo hapo mlangoni.
Hakuna shabiki wa livakuku aliyetamani Siku ya leo ifike.........leteni hao wafuga kaswende wapakatwe
Man city 3: 1 livermapengo




Umepost huku unatetemeka maana unajua kisago atakachoenda kuwapa........Ndio kale kanyonyoma kalikokwiva mapema usoni kama kamebanikwa?
Kaleteee
YNWAView attachment 2454141
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mtajuta kujichanganya.Umepost huku unatetemeka maana unajua kisago atakachoenda kuwapa........
Lakini usijali kwa heshima yako Saint Etienne Tutawapiga viwili tu vinawatosha
NEW: Benfica have rejected a €100m bid for Enzo Fernandez, which they received yesterday, with the club still holding out for €120m. This bid was NOT from Liverpool. #lfc [record]NEW: Benfica have rejected a €100m bid for Enzo Fernandez, which they received yesterday, with the club still holding out for €120m. This bid was NOT from Liverpool. #lfc [record]
That being said, reports in Italy claim the Reds are ready to make the next move with a ‘monster’ bid as they prepare to ‘get serious’ for the 21-year-old in January, as per Mirror Football