On the spot...
Baada ya covid kuzuka hawa jamaa wameonyesha mara kadhaa wana jambo lao kwanza walianza kuwapa wafanyakazi likizo bila malipo mashabiki wakisema haiwezekani bhana wakafyata, ikaja ishu ya Super League nako wakaangukia pua kote huko utaona ni dhahiri kabisa hua wanawaza namna ya kubakisha ela zaidi klabuni, ikaja suala la Gini kudai 200k ambayo alikua entitled kulipwa kwa kua dogo ni kazi hana stori nyingi, ikaja suala Mane akadai alipwa 240k na marupurupu wakasema no way.. Sasa kunakucha ndio wanastuka hakuna mchezaji wa kuuza ili wampe Klopp funding design kama C10 kipindi kile ndio hapo wakaona watue kwa Nunez ambae miaka 4 mbele atakua na resale value ya zaidi ya £150 m.
Klopp pamoja na mapungufu yake ya ualimu na upangaji kikosi hawa FSG amewapa utajiri balaa, unavyosema hawa wanasepa sababu ya Bellingham wala sishangai kabisa kwa kua hii ela lazima waitoe wao na sio eti tuuze ndio tununue.. Na unavyosema pia ishu ya Liverpool is way deep than MF ni kweli klabu inahitaji uwekezaji kila idara kuanzia MF, defence na mbele sasa hapo Klopp mwenyewe alishasema yupo tayari kusubiri dirisha moja ampate Bellingham na wengine kuliko kununua ili mradi kwa hilo tu Klopp kaingizwa chaka yaaani jamaa wameona timu ipo down ward trend wameamua wahesabu chao mapema wasepe. Kingine sasa ni kwamba Epl ina super powers zaidi Liverpool, wakiwemo Manchester United, Arsenal, Chelsea, Newcastle, Tottenham nk hawa wote wanaingia sokoni mazima hawatanii hapo tu inaonyesha usajili tu ndio utakua silaha kuu kushinda makombe sio bla bla za FSG.
Mambo ni mengi, aje mwarabu wa kwanza kutua ni Mbappe, Neves, Gapko, Bremer [emoji13][emoji13][emoji13]day dreaming
Hapa aje tu Mwarabu tusahau maumivu ya hawa jamaa.
YNWA
America 1st ndio policy ya ma Yankees, kwanza FSG wenyewe wamewatega hao wateja tarajiwa maana FSG hawajasema kama wanauza mazima ama wanauza share kadhaa kwa sababu hio wanafanya vile kujilinda na vurugu za mashabiki na pia kua na plan B... Ina maaana akitokea mteja akatoa 2b atapewa hisa kadhaa design kama vile walivyo muuzia Redbird mwaka jana.Mkuu hii ilikuwa wazi, sell to buy ilikuwa iwatoe KO mbaya na timu ingeanza kupungua mapato kwenye baadhi ya maeneo.
Hiyo summer haswaa wasingeweza maana
Milner
Keita
Ox
Hawa bye bye wasingetoboa kusajili more than 5 quality players kwa mkupuo. Walishakosea kwenye summer mbili kutosajili atleast 2-3 players.
Aje mwarabu au mhindi Ambani au atleast mchina, tofauti aje mmarekani tena
Itakua ngumu hii dili kukamilika kwa mwezi mmoja. Hapa sana sana ni June 2023 ndio mwarabu atakua na uwezo wa kununua hao wachezaji sana sana hao FSG wanaweza kununua tu kufanya damage control ukashangaa wameleta Kabak type January kuzima kelele za mashabiki...Ngumu sana Klopp kusepeshwa amini hili, especially timu ikinunuliwa na mwarabu ndio kabisaaa…
January tutaingia sokoni tufanye 2-4 signings… atleast tuwe na deapth
America 1st ndio policy ya ma Yankees, kwanza FSG wenyewe wamewatega hao wateja tarajiwa maana FSG hawajasema kama wanauza mazima ama wanauza share kadhaa kwa sababu hio wanafanya vile kujilinda na vurugu za mashabiki na pia kua na plan B... Ina maaana akitokea mteja akatoa 2b atapewa hisa kadhaa design kama vile walivyo muuzia Redbird mwaka jana.
Matukio yanayowasukuma ni mengi kwanza nguvu ya mashabiki kwa kila jambo walilotaka wamefeli kuanzia kutaka kuongeza bei ya tiketi, adhari za corona, kikosi kua hoi kikihitaji zaidi ya 200m kikae sawa, kingine wameshinda kila kombe kwa ngazi ya klabu na kuipaisha timu majuu, kingine walichemka kutaka kuuza brand ya Liverpool kibishara nk kwa hio hawa wanatafuta pakutokea kabla timu haijachuja zaidi kwa kutazama kwamba huwezi kushindana na Mansour oil cash ukabaki salama.
Kwa sasa hata Dangote atupelekee mahela pale achukue timu.
YNWA
Itakua ngumu hii dili kukamilika kwa mwezi mmoja. Hapa sana sana ni June 2023 ndio mwarabu atakua na uwezo wa kununua hao wachezaji sana sana hao FSG wanaweza kununua tu kufanya damage control ukashangaa wameleta Kabak type January kuzima kelele za mashabiki...
Sina hakika kama Klopp atakua salama kazini kama ataedelea na yale mambo yake ya kutaka wachezaji untouchable kama. Valverde, Saka, Mbappe nk
Muda utasema. Sie mashabiki tunahitaji kusikia FSG wamesepa they have served thier purpose.
YNWA
Hawa jamaa wakaona crisis ya kiungo mbadala ni Athrur melo
Liverpool tuna future nzuri haya mambo hayaji tu ghafla team imeongeza thamani kubwa na amini haya maneno tutasajili wacheza big names watano next season quality players.
Wanaondoka kwa kuwa wamesema wenyewe nadhani faida tu watakayopata 130% kwa bei waliyoinunua Liverpool inawavutia. Lakini lazima tuwapongeze kuongeza thamani club kuifanya leo ni hot property yenye thamani sio kitu kidogo. Tumechukuwa vikombe vyote ila wataondoka kwa heshima tuweze kusonga mbele na sisi.Ikiwa tu FSG watasepa, wakiendelea kuwepo sahau big names hizo
Wanaondoka kwa kuwa wamesema wenyewe nadhani faida tu watakayopata 130% kwa bei waliyoinunua Liverpool inawavutia. Lakini lazima tuwapongeze kuongeza thamani club kuifanya leo ni hot property yenye thamani sio kitu kidogo. Tumechukuwa vikombe vyote ila wataondoka kwa heshima tuweze kusonga mbele na sisi.
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]YNWA ndyo tumeanza ligi sasa hatuachi kombe lolote mbele yetu
MO SALAH BALLON DOR [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Iwe tu kweli aiseeeBreaking news: Liverpool have been sold now waiting for approval and acceptance from the premier league and the government's.
FSG are no longer LFC owners
[emoji1203] [emoji1666] lfc
.
.
Done [emoji736]
Qatari Royal Family [emoji1666] LFC
The Thani Qatar royal family and they are worth £345 billion.
Can anyone validate this [emoji115] please?
Nyie chanjeni tu mbuga Europa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapenati Fc
Nawakumbusha tu Epl haina penalty.