Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Klopp umesahau mzee wa kujaribu yanayopingwa na wengi yeye hua upande wake peke yake.. Tazama Carragher anamwambia Klopp lazima umbakishe Mane kikosini amekua mchezaji bora tangu January 2022 kwetu akichangia pointi muhimu na ushindi muhimu wakati huo Salah amepoteana kabisa lilibaki jina lakini Klopp huyu huyu wala hakujuli ushauri wa Carragher akaona aa mie sipangiwi kamwe huyu Mane asepe zake... Sasa come October 2022 Klopp kimya kimya kimya anajilaumu mwenyewe bila kwa nini hakusikiliza...You don't need to trust in klopp
Mpira ni investment watu wana invest wapate fan base wapate na faida wasichojua fsg ni kwamba liva tunapoteza mvuto kabisa kwa sasa na wanafanya utoto... Na klopp sijui kwa nini yupo upande wao
Mimi ntamlaum klopp mpaka mwisho kwa yanayoendelea unauza mane unaleta nunez
Hata ningekuwa mimi ningechokaGoli la Kwanza VVD sijui mawazo yake yalikuwa wapi yaan hamna concentration kabisa, Jamaa keshajichokea kabisa .
Hii team bila Milner hatuendi mbali 😂😂😂Ni kupambana nae tu hakuna namna na kwa sasa Arsenal wana udhubutu, wana harmony, wana endurance, resilience, wana perseverance, wana mission, wamemwalewa Kocha nk hizo zote ni aspect za mshindani...
Kipara ashushwe tu tupumue.
Kwa sasa Liverpool bora kujiwekeza kusaka vipaji wanunue January 2023 na kujipanga kwenda kushinda UCL msimu huu inakua na asilimia kubwa kushiriki Uefa msimu ujao bila kutegemea kuingia Big 4.
YNWA
Haondoki ng'ooooAjali anazipata yeye tu??
Aondoke
Mimi lawama zote namtupia KloppKlopp umesahau mzee wa kujaribu yanayopingwa na wengi yeye hua upande wake peke yake.. Tazama Carragher anamwambia Klopp lazima umbakishe Mane kikosini amekua mchezaji bora tangu January 2022 kwetu akichangia pointi muhimu na ushindi muhimu wakati huo Salah amepoteana kabisa lilibaki jina lakini Klopp huyu huyu wala hakujuli ushauri wa Carragher akaona aa mie sipangiwi kamwe huyu Mane asepe zake... Sasa come October 2022 Klopp kimya kimya kimya anajilaumu mwenyewe bila kwa nini hakusikiliza...
Huyu Mzee ana roho ngumu sana yaaani anaulizwa eti unasajili MF anadai hapana MF imejaa kuna Kieta,Milner, Henderson, Jones, Oxlade-Chamberlain haha like serious hao wote ni medium players wa hukoo nafasi ya 10+kimsingi MF ya Liverpool ina wachezaji wawili tu Fabinho na Thiago... Elliott na Fabio ni raw talent wana future ila kwa sasa bado sana.
Carragher alishauri vyema sana bakisha ever fit Mane kwa gharama yoyote na tetesi anakula 250k+ pale Bayern ela ambayo pale FSG ipo ila ubahili tu...
Klopp shame on you.
YNWA
Naunga mkono hojaTimu apewe Steve G
Klopp katumia 4-3-3 kakuta imebuma
Katumia 4-2-3-1 imesanda
Haya katumia 4-4-2 diamond anachezea vipigo TU
Klopp anashindana na Nature ,Klopp kila mwaka wa 7 lazima aonje joto ya jiwe na huwa ana shusha hata timu daraja
Waulize Mainz05
Kuna dalili had round ya 1 inaisha akawa ameachwa 20points
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona umesahau 4312 mkuu? [emoji23]Timu apewe Steve G
Klopp katumia 4-3-3 kakuta imebuma
Katumia 4-2-3-1 imesanda
Haya katumia 4-4-2 diamond anachezea vipigo TU
Klopp anashindana na Nature ,Klopp kila mwaka wa 7 lazima aonje joto ya jiwe na huwa ana shusha hata timu daraja
Waulize Mainz05
Kuna dalili had round ya 1 inaisha akawa ameachwa 20points
Wale vijana wanamoto balaa, em kwenye kubet nianze kuliua hili li tim tu [emoji23]Napoli ataenda kutufunga tena
😂 😂 😂 Milner Mr Always Fit ready to serve CB, RB, LB, LW, RW, CMF, RMF, LMF huyu ipo siku atacheza kipa nomaaa sanaaaHii team bila Milner hatuendi mbali 😂😂😂
Hadi msimu uishe naona wakipoteza points mara mbili ya walizopoteza msimu uliokwisha.Klopp aende PSG au JUVE akawatafutie UEFA.Hapo Anfield his time is up.Liverpool tumepoteza 20 points season hii already..
While last season yote tulipoteza 22 points
Hadi msimu uishe naona wakipoteza points mara mbili ya walizopoteza msimu uliokwisha.Klopp aende PSG au JUVE akawatafutie UEFA.Hapo Anfield his time is up.
Carragher anasema we are getting what we did for so long to other teams..Leeds walikimbia kilometres 12 zaidi kuliko Liverpool