Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Naona umetoka shimoni....enhe mwanga nondo za kimalkia sasa tunasubiriIn ua dreams.
YNWA
Naona umetoka shimoni....enhe mwanga nondo za kimalkia sasa tunasubiriIn ua dreams.
YNWA
Mkuu tumepigwa clean bila jibu haina noma maana binafsi msimu nina matarajio ya hivyo sina presha sana na hii timu. Safari bado ndefu.Naona umetoka shimoni....enhe mwanga nondo za kimalkia sasa tunasubiri
Pale kuna dogo Phillips anafaa sana nakumbuka ile gemu last season San Siro alicheza moja ya gemu bora kwake Liverpool huyu dogo anahitaji kuaminiwa na angefaa sana kua back up wa Konate na Matip huku Gomez akiwa back up wa Trent mpaka dogo Ramsey aje apate game time.Kila tunapo fungwa center back ni Gomez na Vvd...
Hawa hawaelewani kabisa Kama CB
Why klop haelewwi?
Bora angemuweka Milner CB ..Gomez akacheza pembeni...Fabinho angepumzika kabisa
How the boys performed
View attachment 2394972
We didn't deserve to win with this stat it's not good.
YNWA
liver hata ubingwa msimu uliopita aliukosaa kifalaa sababu ya kupotza mechi nyingi kwa underdog...
Ze kingereza iz kuzikwa to ze mashimoz....
Ze kubwa jingaz la wikiz






Lol,
Gomez & Virgil was our best CB pairing, kabla ya ile injury ya Gomez ambayo imeondoka na pace yake yote.Kila tunapo fungwa center back ni Gomez na Vvd...
Hawa hawaelewani kabisa Kama CB
Why klop haelewwi?
Bora angemuweka Milner CB ..Gomez akacheza pembeni...Fabinho angepumzika kabisa