Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Yamekimbilia mashimoni saivi yanatunga ngonjeraUchambuzi tunafanya muda gn
Yamekimbilia mashimoni saivi yanatunga ngonjeraUchambuzi tunafanya muda gn
Hapo ndo city anaposhindia makombeliver hata ubingwa msimu uliopita aliukosaa kifalaa sababu ya kupotza mechi nyingi kwa underdog...
😂😂 Gemu za mapema ndio kasumba zake hizo. Pole sanaHii team siku ya leo nitaitukana sana sio team yangu ila imenichania mikeka yangu quDadeK
Ninachojua wiki iliyopita tumewatandikaSaint Anne toka huko shimoni bas hauhisi joto asee
Ndio kombe lenu videri fc......Ninachojua wiki iliyopita tumewatandika
Tulikutuma utubetie ushindi?Hii team siku ya leo nitaitukana sana sio team yangu ila imenichania mikeka yangu quDadeK
Nyie mnalo lipi?Ndio kombe lenu videri fc......
yaah mkuu na leo haachi point... sasa liver anatafuta point kwa city anakuja kugawa kwa notgharm fwakenii kabisaaHapo ndo city anaposhindia makombe
Ni timu ya nini sasa?Eti hii Nayo ni timu. Ya mpira wa. miguu so maajabu haya
Shimoni hawajamboNyie mnalo lipi?
Nmewap dcTulikutuma utubetie ushindi?
Dah😂😂 Gemu za mapema ndio kasumba zake hizo. Pole sana