Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Kwendraaa.....mchambue nini mshakula kifinyoKwanza kila watu waende kwenye uzi wao.
Wataalam wanakuja kuchambua mechi .
Kwendraaa.....mchambue nini mshakula kifinyoKwanza kila watu waende kwenye uzi wao.
Wataalam wanakuja kuchambua mechi .
Sisi kideri tukitoe wapi.....huoni huko tunajipigia vitoto ambavyo nyie viliwashinda.....haalaaaaaandKwahiyo na nyie mna kideri?
Mbona tuliwafunga
Kocha mteule MosDef anakujaKwendraaa.....mchambue nini mshakula kifinyo
Mbona mlitushindwa sasa?Sisi kideri tukitoe wapi.....huoni huko tunajipigia vitoto ambavyo nyie viliwashinda.....haalaaaaaand
KwendaaaEti mtu na akili yako unashabikia kideri fc duh.......ndo hasara ya kutumia kichwa kama kifuniko cha shingo
Usilale buana shimoni joto. Halijaisha bado....kacheki chama huko tunafumua vitoto.....Poor Liverpool
Pumbavu sana
Nikalale
Ngoja na nyie mvikateMnachojua ni kukatika tu viuno
Niacheee 😂 😂 😂Usilale buana shimoni joto. Halijaisha bado....kacheki chama huko tunafumua vitoto.....
Ndio tunajiandaa kushusha nondoKomenti ndefu zitapotea kwa muda hapa.
Waende wakachambue maharage jikoni.Kwendraaa.....mchambue nini mshakula kifinyo
Viingreza vya humu vinaenda likizo wiki nzima, wazee wa literature wanarudi shimoni.Ndio tunajiandaa kushusha nondo
Hakuna mechi alifungwa akakubali ,huwa mara aaeme uwanja mbovu, mara Hali ya hewa, n.kUwa ni sore loser na mpumbav tabia zake iz za kulia Lia uwa zinakera sana.
This time Tomorrow tunarudi na English hapa 😂😂😂Viingreza vya humu vinaenda likizo wiki nzima, wazee wa literature wanarudi shimoni.
Tutawamisi sana kina Ngugi Wathiong'o.
Ivi week hii mulikambwa lambwa tena🤣🤣😒Poor Liverpool
Pumbavu sana
Nikalale
Ni suala la muda tuIvi week hii mulikambwa lambwa tena🤣🤣😒