OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,311
Matakataka mumewaotea viwete wenzenu hamuna timu nyie munaruka ruka tu🤣🤣🤣🤣
Overrated.Sema linapokuja suala la champions league liverpool wanajua namna ya kucheza michuano ile
51.4% of Liverpool’s goals this season against Rangers and Bournemouth.Mancity anaenda kupigwa kama ngoma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hv Viktoria plzen wangemtoa kwenye hilo kundi wakatuweka sisi wana Liverpool tungekuwa na hali gani?View attachment 2386177
Wewe na hizo fainali zako 3 umepata makombe mangapiMkuu hao wote ukizungumzia uefa kwa Liverpool hawana cha kumzidi hao.
Baada ya makundi wanaishiaga wapi?
Ndani ya miaka saba tumecheza fainali za uefa mara 3 wao wamecheza mara ngapi? Hao kelele kwenye makundi tu kwenye mtoano wepesi tu hao.
Hahahaha jamani hizi takwimu zingine ebu mchune aisee tupo HDU lini tutatoka salama hatujui ndugu..51.4% of Liverpool’s goals this season against Rangers and Bournemouth.
51.4% of Liverpool’s goals this season against Rangers and Bournemouth.
Tafuta hiyo appNaomba app/link ya kuangalia EPL Tottenham Hotspur VS Everton
Wewe jamaa ,haya ,ila shughul ya Jesus unaijua Lkn?