Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Waelewe vipi bila kueleweshwa hili ni la kocha angalia upande wa kushoto sasa hivi unapwaya sababu diazi anacheza kama free player goli la jana kalitengeneza akiwa kulia kwenye matukio haikatazwi mchezaji kuhama ila huyu anafata mpira ulipo.Case study ni KDB kutoka kua mfungaji tegemezi na kua feeder mkuu wa Halaand hakika kwa haya mabadiliko yamesaidia kuwapaisha Manchester City parefu sana maama wengi focal points ni Halaand...
Hapa kwetu wala Klopp hana huo ubavu wa kukomalia Salah au Diaz kum feed Nunez kama main threat wetu.... Nunez akomae mwenyewe kusaka magoli kivyake akisubiri aletewe na Salah hakika atasubiri sana kwanza Salah mwenyewe anakitaka kitu cha ufungaji bora hivyo mwenyewe anataka magoli.... Mind set ya wachezaji wetu pale mbele inabidi waelewe mfungaji ni Nunez wampe sapoti kadri wawezavyo...
YNWA
tue tuna angalia na majukum ya wacheza tusishangilie 1 ikatukosti 3 nakumbuka pia waligombania mpira na Nunezi na ni eneo la straika sasa hii ni sawa?
Mechi iliopita kipindi cha kwanza niliuliza hivi Diazi anacheza nafasi gani hamna alie jali bila shaka mna furahia anavyo chachafya mabeki bila utaratibu achoka haraka kwa kukimbia hovyo.
Mwalim anagawa majukum kwa wachezaji na wasimamizi wao wanaangalia anae toka jasho mpira hata ukiwa na kipaji lazima muwe na mbinu za pamoja mpate matokeo

