Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kitu pekee nachokiamini msimu huu ni kuwa ule ujinga wa kupishana point moja kwenye ubingwa hautokuwepo, na cha moto mtakiona
 
Liverpool tunapita kipindi kigumu na hii ni kawaida ya team zote huwezi kwenda tu umenyoka kuna wakati mgumu na sisi washabiki wa Liver hii wala sio mara ya kwanza labda kama wewe ndio umeanza kuipenda Liver leo, ila pamoja na hayo tukosoe mimi tatizo kubwa naloliona kwenye kiungo kuna haja kubwa sana ya kueleta upgrade watu wawili kwa maana zaidi ya hawa tulioo nao ila shida nyingine kubwa Mo anatakiwa abadilike awe feeder sio main striker system inabadilika anakaa sana na mpira badala ya kuachia kwa striker Darwin, team inajengwa kumzunguka number 9 yeye bado yuko katika 433
 
Kinachosemekana mabrazil wamemaindi sanaView attachment 2382361
Ukiangalia hii picha vile Firmino anamuangalia captain wake ni wazi kuwa ata yeye ameshangazwa Kwa kilichotokea, ni kama vile haamini kuwa captain wake ndio kafanya hivo

Kama ni kweli aliongea maneno mabaya juu ya Gabriel, kutokana na Heshima yake pale Liverpool na England Kwa ujumla atakuwa amekosea sana, na ataandamwa sana kutokana na uwepo wa wabrasil katika team yake

 
Shukran mwana Liverpool halisi,

Liverpool mnahitaji overhaul kubwa ,salah toka asain mkataba mpya kawa vetaran Kama Kagere

Tupo na Arteta since day one , kwenye shida na raha , now tumebakiza mech 1 ngumu against City

Ambayo itachezwa after world cup

Kiukweli mech ngumu kwetu ilikuwa no hii ya Liverpool , ndio mech pekee tuliyofosiwa hata kubadili mbinu ,hata buildup hatujaitumia ,

Nilisema juzi Zile Mechi mbil round ya 2 dhidi ya Liverpool na city pale Emirates tulikuwa tunatuma ujumbe wapi tunaelekea .
 
Sujui kwenye hili anaponaje huyu mwamba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…