Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿Duuh Keita freezed sababu ya kudai game time huku Liverpool wakikataa ofa kutoka kwa timu zingine kumhitaji, mbona sasa Klopp anachemka kazi, too bad kwenye mikataba yao hawa wachezaji inawabana kusema haya maneno.
Keita nishasema huyu auzwe chap hatupo perfect fit hivyo akasake maisha kwingine ni ajabu sasa Klopp anataka kumwajibisha hivi hivi kwa kutaka game time regardless ya injury record hii ndio ajira yake.

Hakika kale kaharafu ka ubaguzi kwenye hili kanaanza onekana sasa, iweje akomae na Milner, Henderson wapewe mikataba aafu auchune kwa Wanyamwezi wetu huku wakiodoka wengine kwenye form kama vile Mane na Gini.

Karma is real, Klopp is no immune.

YNWA
 
Kwa ubaguzi wao na upendeleo wa kipumbavu hili timu litafungwa hadi mwisho.
 
na huyo keita mkataba wake unaisha mwakani so ataondoka bure hawezi kubaki akili za kloop kuna muda ni bangi tu badala amuuze tu ana komaa nae
 
its 2022 James Milner anaanza kikosi cha kwanza champions league ugenini dhidi ya Napoli
Narudia tena Klopp pride is his downfall...

Yalimkuta Bill Shankly kukubatia aging squad ikifika mahala wenye timu wakasema haikumbariki akapata ajira msaidizi wake Paisley n the rest is history...

Kikosi cha Real Madrid kilichocheza 2018 na Liverpool kimefumuliwa nadhani wapo wachezaji wawili tu ama watatu lakini sie tumoo na 4 3 3 yetu na imeshajuliwa na karibu timu zote.. Hiki kikosi mpaka sasa kilitakiwa kiwe kimeshafumuliwaa...

Honestly sioni jipya kufungwo na Napoli kwa sababu dalili zipo nje nje tangu msimu unaanza.. Klopp hajasaidii kwa kutofanya maamuzi magumu.

Muda utasema anatupeleka wapi Klopp.

YNWA
 
Hivi kwani hadi leo hatujui kuwa anatupeleka shimoni?🤣🤣

Real Madrid wametutandika kila fainali tunayocheza nao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…