Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Unaonaje Mkuu Hela ya kumnunua &Mshahara wa Nunez angeongezewa Mane na akabaki?Haaland, tusingeweza kulipa his wages.
Nunez, will suprise you ALL.
PROPER NUMBER 9.
He will suprise you ALL.
And, when that day comes, nitakuwepo hapa kuwakumbusha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] utamuona siku mkukutana naeBaada tu ya salah kupata mkataba ,Hana tofauti na boko[emoji23][emoji23]
Mane wakati anaondoka alikuwa na miaka 30 tayari, ikiwa na maana, tayari alikuwa asha-peak.Unaonaje Mkuu Hela ya kumnunua &Mshahara wa Nunez angeongezewa Mane na akabaki?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Akina Ollachuga wamemtupia Tuchel zigo la lawama🤣Mashabiki wa Chelsea hawaonekani hum kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Angalau Mkuu maneno yako kuhusu Mane yamenifariji.Mane wakati anaondoka alikuwa na miaka 30 tayari, ikiwa na maana, tayari alikuwa asha-peak.
Na, tayari strength za aina ya uchezaji wake zilikuwa zishaanza kupungua (Pace, ball accerelation, dribbling, behind runs), na ndiyo maana msimu uliopita, Klopp moved him katikati as a false 9, eneo ambalo hali-hitaji sana pace/physical or intensive ball accerelation.
My opinion tangu mwanzo, ilikuwa tulikuwa tunahitaji kumpa Mane a 1-2 years deal, same to Firmino, ili kuwe na proper phasing-out, but FSG wapo so tight, na wasingeweza ku-alert deal kama hiyo, because Mane ni lazima ange-demand a big pay-raise.
Inaumiza Mane kuondoka, but at 30, ameshatupa kila kombe, and Nunez ni good signing, na value yake ni nzuri, he's 22, na ana mengi ya kujifunza na ku-prove, kila jambo huwa linakuwa na mwisho, Mane kuondoka LFC ilikuwa ni inevitable, ni lazima kuna siku angeondoka, cha kushukuru ni kuwa ameondoka kipindi ambacho tayari tuna good/potential replacements. Salah, Nunez, Diaz, Jota, Firmino, Carvalho ni very good attacking depth, kinachotukwamisha kwasasa ni MF tu, maana hata backline yetu imejitosheleza (Alisson, Kelleher, Trent, Ramsay, Robertson, Tsimkas, Konate, Gomez, VVD, Matip)
Tumefanya uzembe mkubwa sana kwenye MF, but our attack & defense, vyote viko poa & well planned.
🤣🤣🤣🤣🤣Mashabiki wa Chelsea hawaonekani hum kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
😂 😂 Weka Melo... Hatutaki malalamiko sie tunasimama na Milner ujue...[emoji3].kabisa mkuu tuna msubiria maana waliopo wameshindwa kutusaidia kwa vitendo
Lini tumeanza Ligi kwa sare kama huu msimu? Hizi ni dalili mbaya sana kwetu na ukumbuke kwenye open Parade ya kushangilia makombe ya Carabao na FA mzee baba Klopp alisema msimu huu mpya atashambulia Makombe yote lakini kwa namna mambo yanavyosonga uwanjani sioni hili likitokea kabisa labda kama washindani wetu iwe ni nguvu ya soda.Kuna hizi Timu zimetueka kwenye hatari ya kutukosesha Top 4.
1) Man City
2) Chelsea
3) Man United
4) Arsenal
Liverpool & Spurs tunaweza jikuta tunagombania nafasi ya 5&6.
Najua Washabiki wa Liverpool ni Kama Kenge hawaamini mpaka waone Damu zinawataka masikioni lakini hatari ipo mbele yetu.
Zile kauli za kuwa "Man United na Arsenal ndiyo kawaida yao" basi msimu huu tusizotegemee sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah! Tuchel hana hatia kabisaaa, na laana ya Tuchel itawaandama maana wamemuonea tu.Akina Ollachuga wamemtupia Tuchel zigo la lawama[emoji1787]
Laana ya Tuchel itawatafuna.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah! Tuchel hana hatia kabisaaa, na laana ya Tuchel itawaandama maana wamemuonea tu.