Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Huyu mzee sijui nani amemrogaKlopp sasa it is too much, too much.
Uwekezaji waliowekeza wapinzani na bado twasubiri kupambana nao, ni maajabu tu.
Wachezaji wake anaowapamba kila siku wapo wodini bado Milner. Henderson, Ox, Keita, Jones.
Sisi na nyie tupo jahazi moja, mkizama nasisi tunazama [emoji23][emoji23] hivyo hamna kuchekana [emoji23][emoji23]Hamna timu humu ..Bora Chelsea yetu ..tukitulia mutajuata kutufahamu...
Mbuzi nyieeeeee
Wewe kama unahisi Chelsea mbovu subiri next two weeks nikunyooshe.Hivi hapa nipo napita uzi wa Chelsea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanamwita Tuchel mviziaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo nacheka kwa raha zangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akina OllaChuga Oc na 42774277
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sasa mbona Mmepigwa na Southampton kama nyie siyo wabovu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe kama unahisi Chelsea mbovu subiri next two weeks nikunyooshe.
Sasa kama tu anamshangaa manyumbu utd kwa kumuanzisha Magwaya Benchi...eti utamuwekaje Kapteni benchi!Mi nachojiuliza hivi Klopp huwa hashauriwi? Hana watu wa karibu kumshauri maana simuelewi, unakumbatia wazee hawa madogo watajifunza lini na experience watapata lini?
Hawa wenzetu walishazamaSisi na nyie tupo jahazi moja, mkizama nasisi tunazama [emoji23][emoji23] hivyo hamna kuchekana [emoji23][emoji23]
Na zile bao tisa za juzi ndio zinazomtia jeuri.Iko wapi gengen pressing ya klopp????heavy metal football if you like..set piece threat??offside trick inatua siku hiz,wapinzani washajua jinsi ya kuishi nayo
Klopp abadilike viungo wamechoka hawawezi kuzima counter attacks tena.
YNWA
Mane kaondoka Liverpool na mpira wake.Na zile bao tisa za juzi ndio zinazomtia jeuri.
Kusajili hataki ,amekumbatia mibabu halafu kazi kufokafoka nje ya uwanja.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hata kama ameondoka ,mpira lazima uendelee..kwani hakuwa akicheza pekeyake.Mane kaondoka Liverpool na mpira wake.
Ule mpira wa liver misimu miwili iliyoisha sasa hivi ndio unapigwa Buyern Munich.
Maskini Salah bila ya Mane sidhani hata kama atafikisha goli 10 msimu mzima.
Hivi salah unamjua vizuri kwel? Ashindwe kufikisha bao 10Mane kaondoka Liverpool na mpira wake.
Ule mpira wa liver misimu miwili iliyoisha sasa hivi ndio unapigwa Buyern Munich.
Maskini Salah bila ya Mane sidhani hata kama atafikisha goli 10 msimu mzima.
Huu usajili wa mido tumekudupuka nahisi
Anakuja kula pension huyoHuu usajili wa mido tumekudupuka nahisi
Wajomba hamna jema......kila kitu mnalalamikaHuu usajili wa mido tumekudupuka nahisi
Still he have something to offer. Atatusaidia kwa hakika...Tume Acha middle nzuri bei ya chini kule Borussia..Monchela..tunachukua huyu flop ya Barca