Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu mtoto TAA kukaba bado hawezi
 
Ngoja mwaka huu tuwasindikize tena Madrid Uefa.
 
Asante ndugu. Kutesa kwa zamu.

Mpira bhana sare tu inatutoa maneno hayooo... Kazi ipo.

Sipati picha kwa jamaa zetu Manchester United wana hali gani na hivi vipigo duuh...

YNWA
Hawa Ndugu zetu,tofauti na timu nyingine zote..wao mashindano yanapoanza wanakimbia kwenda nyuma🤣
 

Attachments

  • IMG-20220816-WA0021.jpg
    40.6 KB · Views: 16
Kwa namna hii bora man u watufunge tu next game ili klopp achukue uamuzi wa kusajili kwa manufaa ya badae.
 
Huyu mtoto TAA kukaba bado hawezi
Mkuu mhurumie anafanya kazi kubwa sana,akabe na kutengeneza nafasi halafu kuna middle zipo pale zinakula hela za bure.Hata ingekuwa wewe,ufanye kazi 2 kwa wakati mmoja upande utengeneze nafasi kisha urudi kukaba,kiufupi Lkatika team yetu Robertson & TAA wanafanya kazi kubwa sana kuliko wachezaji wote-ni basi tu dunia haiko fair.
 
Na bado kila mechi anapangwa kama roboti hivi huyu dogo na anacheza dakika zote mwanzo mwisho.
Klopp atakuja kumvunja miguu mtoto wa watu.


Kati akina keita wanakula mema ya dunia.
 
Kwa namna hii bora man u watufunge tu next game ili klopp achukue uamuzi wa kusajili kwa manufaa ya badae.
Itakua jambo njema sana. Otherwise akishinda ugenini Trafford ndio msahau usajili mpaka June 2023... Aafu kinachonishangaza ni huyo Bellingham anaemkomalia kiasi wengine hawaoni tena maana hua dogo namuona kama Hendo mwenye umri mdogo 🤣🤣😅😅😅😅haya ngoja tuone.

YNWA
 
Kila mmoja apambane na hali yake hakuna kutegemea kubebwa na yoyote yule.

Klopp ni kama ni mgeni wa Ligi... Yaaani kawajaza watoto kikosini ili tuonekane tuna kikosi kipana kumbe kikosi wingi ila ubora hatuna...
Magoli ya Origi nani analeta...
Magoli ya Takumi nani analeta..

Thiago ni yule yule misuri ataumwa kila kukicha....
Keita huyu babu alidanganya umri sio bure yeye tu kuumia...
Ox huyu mwili wake is made from Indian Biscuits...
Milner hahaha just hahaha...
Henderson same old Hendo no clue nini anatakiwa na kwa wakati gani...
Fabinho used too much...
Jones slow learner...
Elliot slow learner...
Fabio raw potential..

YNWA
 
Made from Indian biscuits[emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91] This made my noon[emoji23][emoji23]
Fabinho mwisho aje apasuke upara wake maana hapumziki jamaa[emoji1787]

I miss Origi[emoji3064]

Keita tulipigwa

Thiago kagonjwa kila muda.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mchezaji alitaka kuondoka mwenyewe ili apate malipo mazuri ambayo Liverpool hawana uwezo wa kulipa,muelewe.
 
Timu imejaa wagonjwa na bado tunaambiwa ma good times are coming kwa mwendo wa 4G 🤓🤓🤓

Some disappointment in life turns to be blessing = tuchapwe kabla ya dirisha kufungwo ili Klopp na Ma Yankees waache bla bla....

Edwards kafanya mengi mazuri sana lakini usajili wa Ox na Thiago ni janga kwa Liverpool hawana fitness ya ku fit uchezaji wa Klopp... Klopp anahitaji Toyota all seasons car yeye kanunua Euro cars choicy na expensive to maintain...
na hili la kumpa Keita mkataba mpya ndio nasema duniani maajabu yapo.

Klopp wala asijifiche kwa Bellingham asipoleta ubingwa msimu huu EPL itakua jambo njema aachie timu aje kocha mwenye kifua cha kutimua hawa ma dead woods wote... Bora kua na kikosi kiduchu cha wachezaji wazima kuliko hii ya Liverpool ya sasa kumejaa wagonjwa...

Tukumbushane tu ni kwamba Manchester United na Arsenal wamepoteana hili ilikua advantage kwa Liverpool kujizolea makombe EPL season after season lakini tumempa kipara platform kuifanya EPL farmers league...

Chelsea, Arsenal na Manchester United hawatapoteana milele one day watarejea kwenye ubora wao hivyo hii nafasi tulionao sasa ni adimu sana kutokea... Tazama Liverpool ilivyopoteana miaka ileee nini kilitokea Babu Fergie alijikusanyia EPL za kutosha i guess 13 yaaani hii ilitakiwa iwe case study kwa FSG lakini wenyewe wamekaa na kuona Big 4 ni ushindi tosha...

Tutaelewana tu.

YNWA
 

Yaani hapo ndio napo washangaa watu, mimi siwezi kuwarahumu Robertson na TAA .

Huwezi kuwa mbele na nyuma utachelewa tu sehemu moja.

Akichelewa kurudi tunatoa rawama asipo panda mbele akikaa tu nyuma tunasema wamemzibiti haendi mbele ndio maana hatufungi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…