UPAMBANAJI????kaangalie goli la Jana utaona maana ya upambanajiMane kamzidi diaz vingi tu, upambanaji, jicho la pasi, umaliziaji, ukubwa(diaz ana utoto mwingi)
Kikubwa kutimiza majukumu ya mwalimu, diaz atajitambulisha kama diaz lakini si kuwa sawa na mane, na kuna uwezekano akafanya vizuri pia, ila ni tofauti mnoo na SADIO.
Hua najiuliza Klopp hua anaona nini kwa Milner na Elliott ambavyo binafsi sivioni pale uwanjani tunapotafuta ushindi kwa namna yoyote ile.tunaanza leo kuhesabu magoli na assist za viungo wetu, hapo penati tunatoa, leo ni fabinho ,milner, elliot
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Kunywa maji mengi sanaa hali ndio kama ilivyo...Hahah hatuna namna ni kumuona dkt na kuanza dose ya kukabiliana na taabu za pressure...
So hutaki watu waongee?"When you walk through the Storm hold your head up high and don't be afraid of the dark "
Naona mashabik wengi hapa wameanza kuishabikia liver 2018 draw 2 maneno lundo mara tutammiss mane ,Mara Nunez Hana nidham,Mara Klop hasajili(wakat haohao walisifia Nunez alivyokuja)
Hiv Kama aliondoka Torres ,akaondoka Suarez akaondoka Coutinho hiv sisi Liverpool ni wa kummiss Mane kweli???
Cyo cc tulikosa ubingwa kwa kudraw hvhv na huyo Mane akiwepo??
Lazima ukweli usemwe.."When you walk through the Storm hold your head up high and don't be afraid of the dark "
Naona mashabik wengi hapa wameanza kuishabikia liver 2018 draw 2 maneno lundo mara tutammiss mane ,Mara Nunez Hana nidham,Mara Klop hasajili(wakat haohao walisifia Nunez alivyokuja)
Hiv Kama aliondoka Torres ,akaondoka Suarez akaondoka Coutinho hiv sisi Liverpool ni wa kummiss Mane kweli???
Cyo cc tulikosa ubingwa kwa kudraw hvhv na huyo Mane akiwepo??
EPL bila kujikaza kukusanya point mapema hatutoboi.Hizi ni game 2 tu mkuu. Tumeshinda moja tume draw moja. Kwanini tuna over react?
Pamoja na yote,hatujafika mateso ya manure aiseee.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kunywa maji mengi sanaa hali ndio kama ilivyo...
YNWA
tumedroo zote, kisha tunakuja ibuka katikati tunafukuzana na City tunaachwa point 1 tunajifariji kwamba hata hivyo tulianza vibaya hatukutarajiwa kuleta ushindani tuliouonesha.Hizi ni game 2 tu mkuu. Tumeshinda moja tume draw moja. Kwanini tuna over react?
Sijui tutamtuma tena Gerrard akamfunge kipara ili tushinde.tumedroo zote, kisha tunakuja ibuka katikati tunafukuzana na City tunaachwa point 1 tunajifariji kwamba hata hivyo tulianza vibaya hatukutarajiwa kuleta ushindani tuliouonesha.
Mmeshinda mechi ipiHizi ni game 2 tu mkuu. Tumeshinda moja tume draw moja. Kwanini tuna over react?
Mnakaza sana Ubongo ila ukweli unajulikana.UPAMBANAJI????kaangalie goli la Jana utaona maana ya upambanaji
Na Mimi ndo bado najiuliza hapaMmeshinda mechi ipi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe kuku katika hizo game 2 mlizocheza unasema mmeshinda game 1, ni game ipi hio mlioshinda?Hizi ni game 2 tu mkuu. Tumeshinda moja tume draw moja. Kwanini tuna over react?
EPL bila kujikaza kukusanya point mapema hatutoboi.
Kwa MF yetu tukibahatika tena kuingia Uefa ,RM watatubamiza tena vilevile.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hapana! Hatuwezi kuwa kama Arsenal ya last season kila mechi Red Cards.
Miongoni mwa Timu ambazo ni nadra sana kupata Redcard basi Liverpool kutokana na kucheza kwa nidhamu! But huyu Boya anataka kutuletea ya Suarez na Baloteli.
Kwahiyo na sisi tuasikusanye mapema points sababu Chelsea alikusanya mapema na akaishia nafasi ya 3 ?Mbona Chelsea msimu ulioisha alikusanya points nyingi mapema akaishia nafasi ya tatu.
Hivi pale Manchester United kuna balaa ujue... Sasa sijui watasema na Kipara wao aodoke walete madevu kama Klopp ama namna gani...Pamoja na yote,hatujafika mateso ya manure aiseee.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app