Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ngoja tuone mpaka dirisha linafungwo atatufikisha wapi huyu stubborn Nazi kwenye usajili...

Shabiki mwenye imani humu na MF yetu hakika anastahili pongezi.

YNWA
 
Ningekuwa mimi Thiago ningeumia kila siku ili akili iwakae sawa Hawa mafala viongozi wasiotaka kuongeza kikosi ila wanataka wenzao wacheze bandika bandua kama mashine.

Aendelee kuumia tu hivyohivyo..
Hii timu inajidai miamba sana ya miujiza..
Tumewaacha akina Hendo ati wacheze pekeyao na sisi tunawaza kushinda EPL!,,,we haya tu😃
 
Akiwa na Midfield inayoongozwa na Captain letu la dunia 😂😂

Yaani Hendo akacheze ili eti tushinde EPL ,,we haya tu
Safari hii ,kwa hii midfield siyo Carabao ,UCL Wala hiyo FA..tutatoka mapema sana,,robo fainali tu tutaisikilizia redioni.
 
😂😂😂😂😂😂😂Klopp atatuvusha salama kote kama alivyotuvusha miaka yote 🤓🤓🤓 namkumbuka Mzee Wenger ndio haya yanayomkuta Klopp i guess ni mid age crisi 🙈🙈🙈kwamba the Gaffer is always right....

Ngoja tuone.

YNWA
 
Labda kutuvusha mto😂
Wasipopanua kikosi kati hatuvuki popote hata afanye mazingaombwe kiasi gani😂😂😂
 
Jamani ligi ndio imeanza... its sad fulham anawatoa jasho....

Niliwadhamini kwamba mna timu nzuri mmeanza kunipa wasiwasi.

Fanyeni usajili au mnipee Saint Anne


Acha niwaamini Totte. Only kwa sababu ya Conte na si vinginevyo.

Tunaenda kwa miujiza,Labda Mungu tu aingilie kati🤣🤣🤣
 
Namtaman Sana barella...daah basii TU
 
Ngoja kila msimu tufanye catch up game af tuna jifaliji ilibaki kidogo sababu ya ubishi wa klopp na loyalty za kijuaji
Kuna Conte pale spurs hajaja kufeli na hana iyo record mwenzio guadiola kaushtukia mchezo yeye anajiona genius.

Angekua genious leo tusingekua na epl 1
 
Yaani hadi aje afanye kitu sokoni ,City watakuwa washatuacha point nyingi,
Sijui sasa tutamtuma Gerrard akatengue miguu hadi awafunge ili tushinde🤣

Yaleyale ya msimu uliopita.. yaaani tunataka kucompete Kwa miujiza akiyanani LFC ni kiboko😂😂😂🙌
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…