Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Klopp alishasema kashamaliza biashara dirisha hili labda itokee majeruhi au mchezaji ametaka kuuzwa otherwise tuwe watulivu kikosi ndio hiki ulichoona pale nadhani walikosekana Allison na Jota tu...Bado nahitaji tupate two MF's (DM & CM),. Ligi ni ndefu mechi ni nyingi with ratation and 5 sub, no one will like us. Ila nitakubaliana kutokukubaliana na FSG & Klopp.
Imagine being us.
Yule Nunez (nunyez) mjiandae kisaikolojia.
Klopp alisema Salah ni kama hakuhitaji preseason. Kapiga cross na right leg ikazaa bao.
Andrian na zali lake la makombe, mnyonge mnyongeni haki mpeni Andrian amejitahidi sana.
Ni wazi pep atajiuliza sana kwa klopp kwa pira la leo.
Klopp and FSG do us a favour we need atleast o good DM & CM.
In Klopp we trust, in him we are safe.
YNWA
Tatizo unakurupuka mno,hivi unajua mimi naongelea goli gani?Clear penalty sijui hujui mpira ww?
Lukaku Mweupe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2309330
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
YNWA
Sikukuelewa ndugu.Tatizo unakurupuka mno,hivi unajua mimi naongelea goli gani?
Naongelea goli la city alilofunga Alvarez kwa maono yangu km kipa alipokonywa mpira mkononi......
Sasa kuna penat pale?
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Pep kipara jana kimeongezeka centimita kadhaa...Lukaku Mweupe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna siku nimecheka Kama leo [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2309238
Name: Erling Paaland
Body: Zlatan
Hairstyle: Andy Carroll
Hype: Ronaldo
Expectation: Lewandowski
Predicted Performance: Cr7
Reality: Lukaku.. with a little touch of Yakubu.. Spiced with Timo Werner.. & flavoured with a little touch of Benteke. Having Maguire's mentality.
Mmeshaanza 😂 naona mmesahau zile tambo za quadruple msimu uliopita. Tujifunze kuweka akiba ya manenoThe season is over liver bingwa mpira mwingi mnooo,,Nunez Ni mafia ..niishie hapo. Natuma salamu kwa watu wa watatu zimfikieee,,,,,,,,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mweupe kabisa kwenye league zero brain [emoji23]...Ligi ianze sasa wengi walimbeza Sana Nunez na Liverpool kwa ujumla baada ya kuchapwa na nyumbu hawakujua ule ulikua ni mtego [emoji16] na Jana nyumbu wa mjini kanasa [emoji23][emoji23].
Msimu huu sioni wa kutuzuia ulaya tunaitaka Uefa. Mpinzani wetu city msimu huu atapitia wakati mgumu maana hawakuzoea kutumia CF tangu pep atue Etihad ndo maana hata aguero alioneka kama loser.. Hadi waje warudi kwenye mfumo wao itakua ni too late.
Anyway kupanga ni kuchagua...
YNWA [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Ipo tatizo ndugu kwa huyu Elliott nadhani expectation ni kubwa sana kwake kiasi dogo sasa anapagawa. Kama jana uliangalia gemu uliona zaidi ya mara 3 mipira ilipotelea kwake kwa yeye kujaribu impossibles.. Naona design kama Jones fulani hivi.Yeah Captain Marvelous
Nimemsikia kama mara mbili hivi kwa habari ya kumaliza usajili labda majeruhi ama kuondoka. Yupo sahihi yeye ndio ajuaye mbinu na mifumo inahitaji nini. Kwa performance ya jana na ushindi ndio rasmi tumemaliza usajili.
Nimewaza kwa nini klopp bado anamtaka keita? Labda kwa mfumo wake wa 4-2-3-1 kuna kitu anaweza kumpa tofauti na 4-3-3.
Nina amini Elliot asipoumia huenda akatufunga mdomo kwa habari ya kutaka kusajili MF yeye na Carvalho. Naona Klopp akimtaka Morton season hii sijui atamtumia vipi tutaona.
Kwa performance ya jana inawasha green light ya kuanza season mpya kwa nguvu.
In Klopp We Trust, In Him We Are Safe.
Ahame timu tu,Hamna namna[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Una utani na Pain killer maana hayo makombe yote anayaona kwa picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
YNWA