Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duuuh nimekwelewa sana fellow Red yaaani....

Tuwe na subira.

YNWA
 
Mmekwisha tayari ,huyo Darwin anaenda kuflop ,Diaz nae ni nguvu ya soda tu ,next season mtamkataaa kabisa [emoji28]
 
Asijekuwa kama carol tu
Hapana Carrol alikua one season wonder na Dalglish nii muumini wa kujenga kikosi kwa kutumia Great Britain au UK players hivyo alifeli kocha ndio maana FSG hawakua na namna zaidi ya kupumzisha...

Darwin Nunez ni generation talent yaaani next big thing from Uruguay..

Darwin =Surez+Cavani.

YNWA
 
Hii partnership ya Nunez na Salah haitashine kwa sababu Salah ni selfish na Nunez anapenda kufunga.
Unselfish Mane ndo aliekuwa anaweza kucheza na Salah
Hapo ndo tutajua Mane alimsaidia vp Salah kutamba

Otherwise time will tell!!

Kama uelewa wako wa Mpira ndiyo huu bora tu ukashabikie Rede na Netball.
Football haikufai kabisa unaibisha Kijiwe chako munachoongelea mpira.
 

DNS kwa drip hii lazima Mgonjwa apige chafya tu
 
Labda Origi alikua hatoshi ila kwa usajili huu natumai mfumo utabadilika sasa .
4 2 3 1 Boby hapa hatakosekama uwepo wake utawaongezea ubora hawa wageni

Fab na Cantara kati halafu Diaz Boby Salah hafu mbele ndo Nunezi.

Baada ya ushindi asiache kuwaingiza hawa watoto Cavlnho na Eliot kuwajenge

Haka katoto kengine Ramsey bonge la mchezaji sijui itakuje na Kloop muoga wa ku roteti
 
Duu kweli sisi tunasindikiza wanao kula maisha yani Mwanasheria/Wakala anapata karibu tshs.19 billion.
 
Binafsi toka nianze kuwa fan wa Liverpool Sadio Mane& Daniel Agger ndio wachezaji niliowapenda.
 
Duu kweli sisi tunasindikiza wanao kula maisha yani Mwanasheria/Wakala anapata karibu tshs.19 billion.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ngoja jamaa yetu MosDef azame kwa big boys table na sisi tuambulie vumbi ya hizo dolali aiseee yaaani mchezaji mmoja wanapata hivyo sasa huyo wakala Jorge Mendes ana wachezaji lukuki Ronaldo, Mourinho, Silva, Fabinho, Fabio nk jamaa kazi yake moja tu kusaka the highest bidder wa wachezaji wake ndio maana amekua moja ya wakala anaeaakwa na wachezaji wengi...

YNWA
 
Binafsi toka nianze kuwa fan wa Liverpool Sadio Mane& Daniel Agger ndio wachezaji niliowapenda.
Agger nakumbuka tulichomfanyia iliniuma sana yaaani hatukufanya fair hata kidogo maana nakumbuka Manchester City walileta ofa kwetu ya maana lakini Agger akasema mchana kweupe hana mpango wa kuhama timu atabakia Liverpool duuh msimu mmoja akanyimwa mkataba na kuambiwa atafute timu asepe zake yaaani iliniuma sana kiasi nikasema bora angewakumbalia Manchester City kuliko yaliyomtokea.

Mane duuh huyu hakuna cha kuongeza kuanzia kukumbali kuachilia jezi namba hali inavyotaka na kukumbali kuhama namba kutokana na mipango ya mwalimu yaaani alikua flexible kuanzia siku ya kwanza mpaka anasepa ni full professional...

Tetesi ni kwamba Bayern walikua tayari kuikacha hii dili na Mane moyo wake ulikua ni Bayern tu sasa Liverpool kwa kuheshimu mchango wa Mane na alivyoomba asepe akasake changamoto mpya Liverpool wakaona wasilete drama kumng'ang'ania Mane wakakumbali washushe bei kwa tofauti ya Β£7m ili Mane atimize ndoto yake.....

Ameodoka kwa heshima kubwa ndio maana mashabiki kidakidaki hawana hard feelings nae zaidi ya kum wish mema huko Bavarian.

YNWA
 
Mkuu Fabio ndio silaha kuu ya 4 2 3 1 yaaani ili Klopp aje ki hivyo anahitaji mchezaji wa thread pass na baller mwenye mbio za kukimbia na mpira na kwa sasa best option ni Fabio..

My 4 2 3 1
Trent Konate VVD Robertson
Fabinho Thiago
Diaz Fabio Salah
Nunez...

Kwa mfumo huo kwanza ndio ulikua mfumo mkuu pale Benfica na dogo Nunez akicheza kwa mafanikio makubwa sana.... Ifahamike pale Benfica katika msimu mzima 4 3 3 walitumia mara moja au mbili hivyo dogo Nunez itabidi awe adaptable ama Klopp acheze na strength zake ili atumike vyema...

Thiago, Henderson ni over 31 hivyo hata intensity kwao itaanza kushuka sitegemei kuona Klopp akikomaa na Henderson, Thiago, Fabinho dakika 80 eti ndio anaingia Fabio au Jones. Kama hatusajili kiungo mpya basi hakuna tena wakati sahihi kama huu kuwaamini vijana wetu Elliott, Jones na Fabio... Naamini sasa wata step up vyema na kua integrated kwenye kikosi kwa kupata dakika za kutosha na ukizingatia sub zimeongezwa msimu ujao ni 5.

YNWA
 
Madrid hawakucheza tu kutaka kushinda uefa ,Kwan ukiangalia wachezaji kalibia wote walishachukua CL hivyo basi Carlo hakuwa na maneno ya kuweza kuwashawishi sana....

ila walivosikia huyo mbwa Salah analopoka mambo ya kulipa kisasi ndio kila mchezaji mishipa iliamuka na kutaka kuonesha dunia ,hapa Carlo alipata sababu ya kuwambia vijana wake kuwa " that f**king boys they want to make revenge,come on ,we can't tolerate such kind of embarrassment,we want to show the world that we own this trophy,"[emoji28]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜† Rodriygo kwenye interview juzi anasema" Modric ni muuaji kipyenga cha mwisho kilivyopulizwa alimkimbilia Salah na kumwambia 'try again' kumpoza kwa maneno ya kejeli baada ya kumfariji alienda kumsindika mineno kuntu".Salah bora angekausha hata mimi mshindani wangu akianza kwa vijembe na vitisho sitomchukulia poa niaibike lazima nihakikishe maneno yake hayatimii.
 
Naomba picha ya wachezaji wakiwa wamenyanyua kombe la epl kabla hili la klopp alilowapa kipindi Cha corona mkuu[emoji28]
Thubutu yao hilo walilobeba wachambuzi wakubwa wa mpira duniani hawalitambui kama ni kombe la Epl bali wao wanalitambua kama ni kombe la Cpl (Corona Premier League)
 
Mateo Kovavic akimuomba Bwana Gerrard ku shake hands wakati huo Mateo akowa bado ni chalii halafu ballboy

Leo Mateo ana more European Cups kumzid Bwana Steven ..

#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
 

Attachments

  • IMG_20220619_085133.jpg
    18.2 KB · Views: 25

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…