Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lewandoski ishu sio mshahara kama sikosei anakula 375k kwa wiki na ma endorsement ya kutosha. Huyu mwamba naona ni Ballon ndio inampeleka kule Spain...

Mane ni kusaka changamoto mpya na mshahara maana kule unaweza kuta ma bonus yapo yakutosha besides umri umesogea anafahamu financial package ndio kuweka sawa pension yake ya uzeeni.

Liverpool mishahara ni kiduchu sana sababu hawa wachezaji wengi walinunuliwa wakiwa wa kawaida sana wamepata majina na ukali hapa hapa Liverpool. Lakini Thiago/Ox sababu alikuja akiwa ameiva mshahara wake ulianzia juu

YNWA
 
Nottingham Forest will be competitive team kweli maana things have changed a lot these days but where is Sunderland [never won UCL] ? hahahaa They have been promoted to championship on they are way to EPL.
Wana upcoming coach safi sana anajua kuwa handle vijana na wanacheza soka safi sanaaaa.

Duuh Sunderland nishawashau kabisaaa kuna kipindi Roy Keane alitajwa kurudi pale kama kocha sijui liliishia wapi.

Huko mchangani ni balaa sana timu ikishuka ikakosea hesabu za usajili inapoteana mazima. Hawa Nottingham wamekaa miaka 23 bila kupanda EPL utaona namna mambo yalivyo. Ajabu Norwich utamuona tena next season anapanda na kushuka tenaa😂😂

YNWA
 
Huyu beki Liverpool mlipata mtu hana maneno mengi ila kazi anaifanya
Upamecano yupo Bayern sasa ndio ilikua chaguo la kwanza la Klopp dogo akawachagua Bayern hivyo Klopp akatua kwa plan B na ni huyu dogo Ibou Konate hakika hajamwangusha mwalimu mechi ya Fainali sikua na imani nae kwa vile mechi ya Benfica na Wolverhampton alifanya makosa tukafungwo lakini Jumamosi alikomaa balaa kumsaidia Trent kumzima Vinicius.

YNWA
 
Lewandowski akihojiwa anasema klabu ndiyo haitaki abaki.

Sidhani kama hapo swala ni Ballon D'or
 
Ni aibu[emoji848]
 
Kila nikifikilia haya majamaa mishipaa imesimama yanapayuka ooooh "quadraple" nabaki nacheka ..!!fala Sana kuku wakubwa nyie
 
kina boehly hatuna Shaka nao sio km kina FSG[emoji23] unless otherwise... kinachotupa afueni kidogo n kuwa hawa kina boehly wanamiliki klabu ya baseball kule marekani inaitwa la Dodgers n among the teams zinazospend Sana kwenye ligi hopeful watahamisha Hadi n Kwa Chelsea

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…