Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

dk 350 za fainali hatujafunga goli hata moja,
something was wrong kwenye approach zetu aiseee,
 
dk 350 za fainali hatujafunga goli hata moja,
something was wrong kwenye approach zetu aiseee,
Kipara kashaona haya mambo ya false 9 hayana tena matokeo anayotaka kashatua mazima sokoni na kashanunua kua tayari kwa pre season.

Ngoja tuone Klopp kama atakomaa na wembe ule ule wa miaka yote. Ile gemu ilikua ya Origi kabisaaa too bad hata hakua kikosini.

Ni kweli mfumo wa 4 3 3 umeturudisha kwenye kilele cha ubora chini ya Klopp lakini ukitazama ratio ya makombe tuliyopata utaona ni failure kwetu. Wachezaji wengi wanaitaka Liverpool tena ambao hawana mishahara ya ajabu design kama Diaz analipwa Β£98k kwa wiki ila sasa shinda ya Klopp kuwang'ang'ania Milner, Henderson, Keita, Ox ambao sio tena level ya Liverpool maana hawana consistency huku tukiwaachia wapambanaji kama Gini na Mane wasepe zao kwa kweli inahitaji uvumilivu sana kuwaelewa FSG kama kweli tupo pamoja au wao mpunga unaopatikana unawatosha bila makombe.

Tetesi FSG wataingia sokoni kumpata mbadala wa Mane na mpango ulikua Son wa Tottenham lakini kwa vile sasa wamerejea Champions League hii inakua ngumu sana na pia Conte anabakia pale hivyo mpango huo haupo labda dogo mwenyewe alazimishe na hakuna klabu yenye hamu na Levy kwenye kununua kwao.

Ngoja tuone ndugu.

Chini ya Klopp tumepoteza fainali 4 na hii sio ishara njema hata kabisa.

YNWA
 
Duuuh kweli kama ETH alijibu mbona profesa kaamua kusepa zake mapema.

Huyu profesa kwenye ualimu amefeli ila historia ya kuwapata makinda quality anayo nadhani Glazer family walitazama hilo awasaidie kuokoa mamilioni ya pesa kwenye usajili nwa ngoja tuone ETH anakuja aje maana mpunga atapewa zaidi ya Β£100m ishu sasa ni hao wa kuuza anaweza kuhangaika nao.

YNWA
 

Mkuu prof anakuwaje na huwezo mdogo? Manjesta akilizenu haziko sawa

Prof alichokisema yuko sahihi kwa points mlizomalizanazo ni wachezaji 10 kabisa sio wanne,yaani mmepigwa 9 bila na Liverpool.ijawahi kutokea,ila mkuu umesahau msimu ulioisha hakuna mechi mlioshinda bila ronaldo, sasa hapo sio wachezaji 10?

Anasema wachezaji wanne anawadanganya tutamuonA ana yeye Epl ni kugumu sana, na huyo nae mtamtimua tu na kumponda kuwajazia wachezaji wa ajax.
 
Profesa ana gemu ya kwanza Ijumaa hii huko Austria.

Tetesi ni kwamba hakujua ukubwa wa matatizo yaliyopo pale Stretford End wakati anasaini hivyo alikuja yaona akiwa ndaniiiiiiii sasa ilivyotokea kazi ya Austria mzee wala hakuwaza mara mbili chap akasema YES.

Kibiashara na nguvu ya brand wako vizuri sana lakini humo kikosini na matokeo kumeoza kabisa. Pazuri kocha mpya hataki nonsense wala kuingiliwa ngoja tuone kama watampa muda mwenyewe alisema angalau dirisha 3 za usajili zinatajika kuijenga ile timu ndio sasa wazungumze kushinda makombe.

YNWA
 
Liverpool haitafika penalty. Imesajiri FabiozNunez ana ingia muda wowote,Bissouma,Bowen,Schick,Garrager,Nkunku na Fekir.

Lakini tusubiri tuone
You have made my day.

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Labda FSG wauze hii timu kwa waarabu ndio watue hao mazimaaaa japo sio wote angalau watatu wangetoshaaaaaaa.

YNWA
 



Tukumbashane he is the only Pep to win all the available trophies kwa timu za UK πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

YNWA
 



πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kucheka kufarahi ni dawa.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…