Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawa vinabo wanaenda kufanya parade na Micky mouse cup [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]


Lini mtu akichukua fa au carabao anafanya parade ?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Madrid ni klabu bora duniani
 
Imagine admin wenu wa twitter alikuwa anazungumza habari za parade.

You guys hampo serious.
 
Mnafanya parade na carabao ?

Fala Nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pambaneni na timu zenu,hali zenu ngumu mmejaa humu

Bahati imeangukia kwao, sio kwamba wapo vizuri
Eti hawako vizuri, kabla ya kufika finali Madrid amekutana na timu zipi alafu linganisha nawewe timu ulizokutana nazo hadi unafika fainali,kwakifupi Liverpool ulipita vichochoroni ulipoibuka tu umekuta mwanaume anakusubiri, umepigwa nakitukizito.
 
Mzee haya mambo sometimes hua ni bahati tu
Mpira tumecheza haswa,tumeshambulia, tumekosa magoli sio kizembe ni bahati tu ilikua upande wao, sijaona mapungufu ya timu kwa ujumla

Madrid wamepata nafasi moja ikawa goli, sisi tumepata nafasi kibao ila hatukua na bahati ya kupata goli
 
Quadraple ya makalio labda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…