Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
"pep kushinda epl tu sio mafanikio kwa uwekezaji uliowekezwa pale man city " kama hio tuzo ni ya PL na pep kachukua PL unataka mafanikio gani TenaUnateseka ukiwa wapi nilishasema PEP kushinda EPL tu sio mafanikio kwa uwekezaji uliowekezwa pale man shity
...Kama ni uefa Wana tuzo zao na pep hawezi pata ,klopp alitakiwa asubili hio uefa tu
