Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

nawaza sijui klop asajili watu gani ili 23 tunyanyue kwapa za epl,,
but i hope mwakani tutanyanyua, mana hata ule msimu wa 19 tulikosa kwa point 1, then 20 tukanyanyua.......

vijana wamefanya kazi nzuri sana mwaka huu
 

Hizi poor analysis baada ya kukosa ubingwa ama?
 
Mkuu wanaosema hivyo sio Man U fans au Arsenal fans hizo ni data za wenyewe epl
Ukweli ni kwamba Liver ana epl title 1
 
Klopp lazima ajifunze sasa kuwa kwenye EPL hakuna room for mistake.
Ahakikishe kila mchezo aingize Timu na Winning mentality.
No room for unnecessary rotation.
- Target iwe ni kukusanya 95+ points at the end of the season.

Hapo ndiyo anaweza kumshinda Pep.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
mkuu msimu huu kwakweli mistake zilikua chache sana, bahati haikua upande wetu.... ila draw na spurs ilimaliza mbio zetu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…