Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

  • Nitakua wa Mwisho kuamini kama Aston Villa anaweza kumfunga au kutoa sare na Man City.
  • Pia ni kitu kisichowezekana kwangu kupiga Ramli kwenye mpira kwamba Villa Amfunge City ili Tuwe Mabingwa.
  • Baada tu ya mechi yetu na Man City ya Round ya pili niliamini kwa asilimia 100.00% kuwa Man City ndiyo Bingwa na wala sihitaji mjadala kwenye hili.
  • Ninachokiona ni kuwa wale wanaopiga Ramli Villa Amfunge City ni kwamba wamebeba False Hope ili waje Wamtukane Gerrard na Coutinho tu kwa kushindwa kufanya kazi iliyotushinda sisi wenyewe.
 
We are not doubters

We are believers

That's just a Liverpool thing
 
Nyie vishingo Cha kuwashauri ombeeni tu mshinde game yenu, Kama mnavyosema lolote linaweza kutokea sisi city kufungwa ndivyo hata nyie linaweza kutokea kufungwa, msiegemee sana kumuombea city afungwe wkt kwenu hamjafunga mlango
 
Wewe mkimbizi rudi team yako
 
  • Nitakua wa Mwisho kuamini kama Aston Villa anaweza kumfunga au kutoa sare na Man City.
  • Pia ni kitu kisichowezekana kwangu kupiga Ramli kwenye mpira kwamba Villa Amfunge City ili Tuwe Mabingwa.
  • Baada tu ya mechi yetu na Man City ya Round ya pili niliamini kwa asilimia 100.00% kuwa Man City ndiyo Bingwa na wala sihitaji mjadala kwenye hili.
  • Ninachokiona ni kuwa wale wanaopiga Ramli Villa Amfunge City ni kwamba wamebeba False Hope ili waje Wamtukane Gerrard na Coutinho tu kwa kushindwa kufanya kazi iliyotushinda sisi wenyewe.
maneno ya mwenye HEKIMA nyingi .
 
Sawa
Lakini kama sikosei ni wewe majuzi tu ulikuwa unadai tuwe na hope kuhusu hili na tuache mpira upigwe uwanjani.

Mimi naona tusubiri tu baadaye kidogo tutajua lipi ni lipi..

Tutatoboa au kutobolewa..
 
Klop kampigia Gerald, kamuuliza vp bwana mdogo so tunafanyeje leo? Gerald kamjibu we bro hakikisha unachukua point zako 3 kwa wolves, mie huyu kipara linyeshe jua au mvua iwake lazima tugawane nae point.
 
Adjustments.jpg
 
kwahiyo wangempata angecheza hiyo fainali.
Fainal asingecheza Ila angekuwa Ni future material. Kwa mtizamo huo Ina maana wamebakiwa na chance moja tu ya kubeba uefa nayo ni hii fainal maana sidhani kama wataweza Tena misimu inayokuja maana kumpata mtu Kama Benzema kwa Sasa Ni uongo .Mbappe ndio angekuwa mbadala mzuri wa Benzema ..kwa hiyo hii fainal wasipochukua Basi Kwisha habari Yao Madirid tuisahau UEFA misimu inayofuata.

Kwa hiyo hii game liver akileta ujuwaji imekula kwake.
#CFC💙💙💙
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom