Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Muujiza unahitaji moyo aisee
Imagine muda huu tumekaa tunasubiri miujiza ya Gerrard.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Gerrard, Coutinho na Ings ndio tegemeo pekee la Liverpool nwa Aston Villa wana nafasi ndogo sana kuwapiga Citeh ama hata sare hakika siioni pale japo kwenye mpira lolote linawezekana ndani ya dakika 90+, uzuri ni kesho hivyo mpaka mida hii tutakua tushajua

YNWA
 
Iyo wage structure itakuaje? Au inafanya kazi kwa salah tuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mbappe ni exceptional talent hawa wanapatikana once in life time ndio maana unaona vita ya kumpata ni kali sanaaaa.

Kwa FSG wala sidhani kama wanaweza kutia mguu maana na hayo mambo ya wage structure tuedelee na akina Ox nk sio hawa special talent. Unless kama kweli wapo basi ujue Nike wamefanya research yao ya kutosha na kuona dogo ndio anakwenda kuteka soko la jezi..

Ngoja tuone anatua wapi ama atabakia alipo.

YNWA
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Gerrard, Coutinho na Ings ndio tegemeo pekee la Liverpool nwa Aston Villa wana nafasi ndogo sana kuwapiga Citeh ama hata sare hakika siioni pale japo kwenye mpira lolote linawezekana ndani ya dakika 90+, uzuri ni kesho hivyo mpaka mida hii tutakua tushajua

YNWA
Yaani tunasubiri miujiza ambayo haipo
 
Screenshot_20220521_215602.jpg

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Perez sasa amfuate Ronaldo hana namna au aje mazima kwa Mane au Salah tupate huo mpunga maana kawakosa Haaland na Mbappe πŸ€”πŸ€”...

Real Madrid kwa sasa tujiadae maana Perez kashavurugwa kabisaaa kwa hasira sasa wanawastaki mpaka PSG Uefa kwamba kumpa huyu dogo huu mkataba watakua wameikiuka capping ya mishahara.

YNWA
 
Yaani tunasubiri miujiza ambayo haipo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kipara kesho ndio kesho atakua πŸ”₯ πŸ”₯ sanaaaaa yaaani.

Yaani kabisa Liver tumekaa tunasubiri ASV amfunge man city ndio tushinde🀣
 
View attachment 2233503
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Perez sasa amfuate Ronaldo hana namna au aje mazima kwa Mane au Salah tupate huo mpunga maana kawakosa Haaland na Mbappe πŸ€”πŸ€”...

Real Madrid kwa sasa tujiadae maana Perez kashavurugwa kabisaaa kwa hasira sasa wanawastaki mpaka PSG Uefa kwamba kumpa huyu dogo huu mkataba watakua wameikiuka capping ya mishahara.

YNWA
Mane ninavyompenda sitamani aondoke kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom