Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hata ukienda Conference league huna uwezo wa kushinda.
 
Point zifanane ya nini?wakati liverpool ndio mabingwa wa Epl.
 
scenario za hii kutokea ni liver ashinde mechi moja na kudroo moja, kisha city afungwe mechi yake ya mwisho!

so far gd ni 7,.........sijui lakini
 
scenario za hii kutokea ni liver ashinde mechi moja na kudroo moja, kisha city afungwe mechi yake ya mwisho!

so far gd ni 7,.........sijui lakini
On Paper ni ngumu sana hii kutokea lakini kwenye mpira lolote linaweza tokea hakuna kinachoshidikana...

Ngoja tuanze kesho kwa kupambana St Marys aafu vijana watakua na siku 4 za ku recover.

YNWA
 
Klopp ana akili sana
Muda anamuingiza Milner wengi humu mlilalamika lakini alikuwa ashasoma mchezo kuwa utaenda kwenye matuta.

Mane kwenye Penalt hafai aisee.
Milner tangu asababishe sare ugenini Chelsea hua sina imani nae kabisa yaani muda mwingi anawazag kupiga viatu πŸ™„πŸ™„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na kesho tetesi Salah na VVD hawapo kikosini usishangae kumuona Milner ndaniiiiii

YNWA
 
Kesho tutegemee kikosi chochote injuries zimeshaanza kutuandama

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini jamaa ni mzuri sana kwenye penalt.

Salah hata asipokuwepo ni sawa tu,yupo Mane,Jota,Diaz ,Bobby,Origi yaani pale mbele Sina wasiwasi.

Ila VVD[emoji3064],,Anyway..yupo Matip[emoji3059]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini jamaa ni mzuri sana kwenye penalt.

Salah hata asipokuwepo ni sawa tu,yupo Mane,Jota,Diaz ,Bobby,Origi yaani pale mbele Sina wasiwasi.

Ila VVD[emoji3064],,Anyway..yupo Matip[emoji3059]
Kwa sasa hatuna benchi dhaifu tuna uwezo wa kuhimili haya majeruhi.

Unasema aje Diaz aanze ama aingie kipindi cha pili?

Hii gemu inamfaa zaidi Origi ana kismati sana na hii beach team yaaani anaweza kutoka na hat trick

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…