Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kaka sisi hatuna pressure yoyote,city yupo pale juu akitoa tu sare anakuwa ana wasiwasi.

Wolves anakuja anfield pale,anfield wanapajua wenyewe hapo wanamiaka hawajawahi kuchukua point hapo.
 
Ovyoo KABISAA,Bora ningepiga punyeto kuliko kuzaa litoto Kama hili
 
ubingwa upo mikononi mwa City ila pia they can bottle it japo ni ngumu , ngoja tusubiri henda kipara akamaliza kapa[emoji28] japo ngumu

mie mechi ntayoitazama ni Fainal tarehe 28 na ya jana kombe kibindoni

Carabao
FA
UEFA
itaondoa machungu ya kupoteza EPL kwa point 1 kwa mara ya pili

hope msimu ujao tutakuja imara zaidi
 
Hii imekaa aje, mambo ya Play off ndani ya EPL.

Mara pap Liverpool na Manchester City tunamaliza kwa magoli sawa na pointi sawa itakua kwa mara ya kwanza hili kutokea maana head to head Liverpool vs Manchester City ipo sawa Anfield tulitoka 2 kwa 2 na Ethad nako ilikua ni 2 kwa 2 hivyo ikitokea ligi inaisha tupo pointi sawa na magoli pia tupo sawa basi tunakwenda kucheza play off pale Wembley kuamua nani bingwa. Hii ikitokea itakua ni mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa EPL.

Hii msimu umekua na matokeo tusiyotegemea.


YNWA
 
Endelea kuota
 

Haiwez kutokea hata kidogo
 
Hahaha, tukamchinjie Wembley kama wenzao Chelsi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…