one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,325
Angekufa pia na historia ya kubeba UEFA na Liverpool kitu ambacho Pep wako na City yake analala akiota kila siku, huku Arsenal yako haijawahi kulipata milele, mkuu.Time is unbeatable, analeta dharau kwamba FA Cup mickey mouse wakati kwenye Ligi kuna Pep Guardiola, angekufa na historia ya kumfunga City tu
Pep alishachukua Uefa toka kipindi klopp yupo Mainz ila hakuwahi dharau taji lolote[emoji16]Angekufa pia na historia ya kubeba UEFA na Liverpool kitu ambacho Pep wako na City yake analala akiota kila siku, huku Arsenal yako haijawahi kulipata milele, mkuu.
Refer kauli ya "PEP NA CITY YAKE." basi tuseme Pep anadharau UEFA kwasababu hajawahi kuishinda na City yake pamoja na pesa chungu nzima anazotumia.Pep alishachukua Uefa toka kipindi klopp yupo Mainz ila hakuwahi dharau taji lolote[emoji16]
Mkuu mbona unaongea kwa wivu na kwa hasira? Kwani wewe Arsenal mnataka kushindana na LFC nini, maana me nilitegemea Nyumbu ndio waumie na mataji anayochukua Lfc lakini imekuwa kinyume aise.Time is unbeatable, analeta dharau kwamba FA Cup mickey mouse wakati kwenye Ligi kuna Pep Guardiola, angekufa na historia ya kumfunga City tu
Huwezi sema pep anadharau Uefa, last year kacheza final, this season amefika semis, Klopp alicheza na team B Carabao & FA, vipi leo? So EPL si prority kwa Klopp?Refer kauli ya "PEP NA CITY YAKE." basi tuseme Pep anadharau UEFA kwasababu hajawahi kuishinda na City yake pamoja na pesa chungu nzima anazotumia.
Sisi tuliweka priorities bob, kwamba kombe la EPL na UEF ndo ilkuwa priority na ndo' maana uliona hata lineups kwenye hizo games ilikuwa ni za reserves. Sasa tushapata EPL na UEFA, why tusichukue na hizo zingine?
Tushachukua kila kombe hapo Uingereza na Duniani, kitu ambacho City kwake ni ndoto kama ilivyo kwa Arsenal, wakamleta na PEP lakini waaaapi!
View attachment 2225308
I'm very relaxed dude, sina chuki, sina hasira, kocha wetu Klopp anacheza na full squad kwa vikombe alivyovidharau mwanzo, What's wrong bro?Mkuu mbona unaongea kwa wivu na kwa hasira? Kwani wewe Arsenal mnataka kushindana na LFC nini, maana me nilitegemea Nyumbu ndio waumie na mataji anayochukua Lfc lakini imekuwa kinyume aise.
Umeshaambiwa hizi cups hazikuwa piority kama EPL na UEFA kipindi cha nyuma ila baada ya kushinda Yale na kikosi kuimarika kwanini asiyape haya makombe piority sasa na msimu ujao hata akipanga U23 hatutamlaumuI'm very relaxed dude, sina chuki, sina hasira, kocha wetu Klopp anacheza na full squad kwa vikombe alivyovidharau mwanzo, What's wrong bro?
Msimu ujao sub ni 5 hilo limeshapitishwa...Baada ya Matip kuingia utulivu uliongezeka.
Keita amesha shindwa bora apandashwe Morton tu.
Jota si mchezaji mzuri ila ni mfungaji mzuri sana hivyo timu ikielemewa anakua mzigo
VVD yupo sharo sanaa upole au uvivu sijui too sloow anakera.
Kuumia kwa Salah kumeharibu ufundi nazani.
Mbele tuna wachezaji naona ingefaa Diaz anzie benchi kwa speed yake akikuta watu wesha choka ni rahisi kupata magoli.
Yule Tmikasi ni bonge la mchezaji bahati mbaya mwenye na mba anajitoa kwa ajili ya team sub ziongezwe tu wachezaji wa injoy.
After Salah mpiga penalty mwingne wa team ni FabinhoTetesi ni kwamba Klopp aliwauliza wachezaji wenyewe kila mmoja aseme atapiga penati ya ngapi hawakupangiwa kwamba fulani apige ya kwanza au huyu apige ya 5 hapana mbali kila mmoja kwa kinywa chake alisema nipige ya 2 mara mwingine ya 7 nk...
Kweli Mane hajawai kua mpigaji bora wa penati tangu ametua Liverpool sikumbuki hata kwenye mechi za kawaida kama aliwai pewa penati maana nakumbuka zamani ilikua Coutinho akaja Bobby akaja Milner na sasa ni Salah.
Hili Ballon tukomae zaidi kule Paris tuchomoke na ushindi na sioni wa kumzima kuikosa.
YNWA