Unawazaje fainali ya UCL ikiwa hii haujaimaliza??Tukijapata majeruhi ya Thiago +Fabinho final na Real madrid hatutoboi [emoji24]
AiseeeehHata mbele uchaw upo ngoja nikalale nitaamka mida ya matuta
YNWA
Nimekata tamaa mkuu nasubiri litakalo tokea na litokee maana naona mapicha picha tuUnawazaje fainali ya UCL ikiwa hii haujaimaliza??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kilichobak Sasa TAA Beckham atafute faulo nje kidogo ya box awaweke ..
Jota kashalewa na bangi
Umeona mkuu wanavyocheza ni kama wamelazimishwa kuingia uwanjaniKlopp halitaki hili kombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shinda yangu kwa huyu babu ni kwamba moyo unataka mwili unagoma.Nimeshangaa sana kwakweli[emoji3].
Bwana ngoja tuone muda wa ziada nini kitatokea mkuu.Klopp halitaki hili kombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani nimekuambia lugha ndio shida?Mkuu join Kuna Swahili language maelezo yote utapewa
Vp Salah bado hajatolewa tuu🤔 maana yupo kama hayupoWeee nani afunge labda penati 😛😛😛😛
YNWA
Mkuu join uthibitishe ukiona bluu in install ,for more info pmKwani nimekuambia lugha ndio shida