Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mpira ni dk tisini nyie waropokaji mlishaaibishwa na Don Carlos Anceloti
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Duuh,tusubiri tuone maana licha ya kufanya vizuri ninajiuliza kwanini Klopp hana tuzo yoyote ya mwezi tangu August
 
View attachment 2217443


Chugga man naona mmiliki wako mpya kumbe ni boss zaidi ya FSG hahaha.

Angalau mnambakisha yule demu wa Roman kwa sasa awape ushauri wa kununua na kuuza na kutoa mikataba atawasaidia.

YNWA
Nyie FSG muna ela za kuunga unga inaonekana kabisa🀣🀣🀣
Adi arse8 wanawapita aise ..
Tukafanya usajili wa akili Kama Klopp Basi jua tutawasha Moto hapo msimu ujao Hadi kieleweke Yani.
 
Ngoja Leo tuone itakuwaje ..Mimi ninejipanga kwa matokeo yeyote Yale.
#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
 
Kamanda sijaona Maoni yako kuhusu game ya leo maana wewe ndio nakuona shabiki pekee wa Liverpool unayejitambua humu jamvini
Duuh Mkuu hii gemu kila nikikumbuka mechi zangu za hivi karibuni naishiwa pozi maana matokeo tumeyapata kwa shinda sana..

Mpaka sasa hii gemu ipo wazi sana.. Chelsea mechi mbili za mwisho Lukaku ameonyesha uhai fulani hapo ndio kocha atapata changamoto akomae na dogo wa big games Kai ama Lukaku au wecheze wote itakua hatari sana...

MF endapo Kante na Mateo wapo fit hii game basi tutateseka sana kwa kuwa Fabinho hayupo upande wetu..

Sioni Thomas akikumbali na vijana wake wapigwe Wembley mara ya tatu (vs Leicester FA, vs Liverpool Carabao na leo tena vs Liverpool FA) naona mapambano yatakua makali sana.

Nipo tayari kwa matokeo yoyote ndugu yangu.

YNWA
 
Ngoja Leo tuone itakuwaje ..Mimi ninejipanga kwa matokeo yeyote Yale.
#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
Ndio mpira ulivyo ndugu kwanza kufika fainali ni ujumbe tosha kwamba hatujabahatisha hivyo ikitokea mmoja akanyanyua kwapa basi tutapeana cheers na maisha yasonge maana umekua msimu wa matokeo ya kusimumua sana. Sisi kama mashabiki tume enjoi vya kutosha na sijutii kabisaa kulipalia dstv maana gemu nyingi zimekua ni burudani tosha aisee...

YNWA
 
SHALLOM GUYS

Mimi ni shabiki wa Liverpool πŸ’“ Damu kabisa ila game ya leo sidhani kama tutashinda



1) Kwanza tutakuwa na presha kubwa sana

2) Tuna final ya UCL

3) Sijaona maandalizi ya mechi ya leo

4) Tutachukua hili kombe ili mjue na dunia nzima ijue kuwa Liverpool cyo level za England tu

5) Tuna mda mrefu hatujachukua hili kombe kwahiyo mpaka tumefika hii final mjue tua nia nalo sana


6)Kikosi chetu ni dhahabu

7) Klop ni kocha wa Viwango vingine

8) Mane?
9)Salah?
10)Boby?
11) AB1?


Tunamkaribisha Bosi Mpya kwenye game kwa kipigo 🀣🀣🀣

Jamani matokeo yoyote yatayopatikana tuyapokee 🀣🀣🀣

Liverpool πŸ’“πŸ’—
 
Nyie FSG muna ela za kuunga unga inaonekana kabisa🀣🀣🀣
Adi arse8 wanawapita aise ..
Tukafanya usajili wa akili Kama Klopp Basi jua tutawasha Moto hapo msimu ujao Hadi kieleweke Yani.
Yaaani kwa FSG sijui nani awape ofa hii klabu waiuze tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€wana kocha bora ila wanajibania wenyewe makombe zaidi na ubahiri wao.

YNWA
 
OllaChuga Oc amesema matokeo yatakavyokua yupo tayari kuyapokea.. Na ndio ukweli maana upepo umekata mida mimbaya sana... Hawa wachezaji woye sio machines..

Japo naona fitness inatofautiana sana.. Kwa mfano mpaka ligi inaisha Rudiger atakua ndio mchezaji aliecheza dakika nyingi sana UK mashindano yote lakini dogo ukimtazama utaona ana amsha amsha kama vile ligi mpya..

Ngoja tuone ndugu namna gani pale kati mwalimu atapanga... Tuna rekodi nzuri sana ya ushindi mwingi msimu huu alivyo cheza HM Henderson
Tazama πŸ‘‡ πŸ‘‡



Kazi ipo.

YNWA
 
Mkuu acha tu japo napenda sana tushinde ila kila nikijiangalia hali niliyonayo upepo umekata kabisa
Wakati hawa ambao watusumbua vichwa city anajipigia tu
Mungu leo awe upande wetu kwakweli leo daah
 
View attachment 2224305
Mnasema aje dogo aanze au awe super sub.

YNWA
Huyu awe sub tu maana naye anakuwaga na mikimbio mingi mpaka anasahaugi mpira nyuma ila makosa yake yanafichwa na Keita Thiago. Fabinho bora akae bench ili akiingia yeye na Mr Super Sub ORIGI tupate hata Maisha ya furaha 🀣🀣🀣🀣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…