Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liver mtashinda mechi zenu zote 2
City atashinda mechi zake zote 2
Bingwa ni Man Shit. Shida iko wapi
 
Hata afe mtu Chelsea tunachukua FA
RM wanachukua CL
Ninyi mbaki na Karabao ndio size yenu hata kama mna squad nzuri
This is football
Bahati
Kismati
Uwezo
Ubora
Ufundi
Nyota njema
Class
Form zote zinatumika kuleta ushindi kwa timu yeyote
 
Ni burudani tu huko kwenye grp la Man city. Tumeshajua mashabiki wa timu nyingine za EPL wana wivu sana na Man city.
 

Attachments

  • Screenshot_20220512-102102_WhatsApp.jpg
    38.9 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220512-102237_WhatsApp.jpg
    39.4 KB · Views: 23
Bora uwaambie weweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hicho kikosi kilichokamilika tumecheza nacho gemu mbili mbona hawakushinda.
 
Kwahiyo Mnakubaliana na sisi kwamba Pep kushindwa kubeba UEFA hadi sasa ni failure kwake
 
Vipi tukumbushe na matokeo ya Bernabau tulitabiri vipi tena
 

Mpira ungekuwa unaangalia tu majina basi man city uefa angekuwa anachukua miaka yote,lakini mpira hauko hivyo Liverpool mara nyingi wachezaji ni wa bei rahisi tu lakini ndio wanaotupA makombe hayo,
Msimu huu Liverpool imecheza fainali makombe yote na wachezaji kawaida tu hakuna aliyekuja hapo Liverpool anajina hapo wote wamekuja kuwa bora baada ya kuja Liverpool mmoja wapo mo salah.

Robertson tulimchukua hull city iliyoshuka daraja watu walizarau kama wewe ,lakini leo hii top beki bora duniani, mpira ni uwanjani sio majingambo ya usajiri kabla ya mechi.wapi lukaku wa chelsea mbwembwe kibao kasajiriwa kwa gharama kiko wapi.

Watu ambao tunajua mpira huwezi kutundanganya kwa vitu kama hivyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…