Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool mpo vizuri sana na isingekuwepo City ya Pep mngebeba ubingwa mara nyingi tu kwa kipindi hiki cha Klopp. Tatizo ni Pep ndo amekuwa mwiba kwenu. Kwa standard alizoweka kwa kushinda mechi nyingi sana lazima timu nyingine zikate upepo kidogo. Pep kageuza EPL imeonekana ligi nyepesi sana maana timu zinapigigika vibaya mno.
 
Mashabiki wa liverfool wanamchukia Pep kwa masilahi yao binafsi maana Pep amekua ni kikwazo kikubwa kwao kwenye Epl.
 
Mashabiki wa liverfool wanamchukia Pep kwa masilahi yao binafsi maana Pep amekua ni kikwazo kikubwa kwao kwenye Epl.
EPL tumeshabeba na huyo huyo PEP akiwepo hapo England wala hatumchukii ila ukweli unabaki PEP akuletwa England kushinda makombe ya ndani tu kukosa UEFA itaendelea kuwa failure kwake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] De bruyne anawainamisha huko, anawakojolea tyuuh.
Kwamba man shity alikuwa anacheza na liverpool leo. Mimi nakumbuka Mara ya mwisho mwacity alipigwa 3 nusu fainali FA , Sasa sijui hao unawaoongelea ni wakina nani
 
Kwamba man shity alikuwa anacheza na liverpool leo. Mimi nakumbuka Mara ya mwisho mwacity alipigwa 3 nusu fainali FA , Sasa sijui hao unawaoongelea ni wakina nani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkombozi wenu Wolves amewapa habari?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] team zinapigika tyuuh.
 
Mlisema Newcastle wako vzuri watawazuia city wakala chuma 5-0

Oooh wanakutana na Leeds ambayo iko moto ,atawazuia kala chuma 4-0

Mara ,wolves hawezi kumuacha man city ,lazima wolves amfunge city [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kapigwa 5-1 .,...

Tunakuja kwa huyo westham Tena , endeleeni kuomba hivo hivo [emoji23] ni mwendo wa kutoa vipigo tu
 
Kwamba man shity alikuwa anacheza na liverpool leo. Mimi nakumbuka Mara ya mwisho mwacity alipigwa 3 nusu fainali FA , Sasa sijui hao unawaoongelea ni wakina nani
Kuwa muungwana kwenye michezo unaifunga city 3-2 ederson ,monster KDB,diaz ,stones ,cancelo,benarldo wote hawapo kikosi cha kwanza .Fikiri ingekuwa ingekuwa liverpool haina hao wachezaji ingekuwaje.Itoshe kusema mnayo bahati kubwa kutokutana na city champions league final na wachezaji wenu wanafuraha sana maana city kwenu kwa sasa ni gunia la misumari .
 
.
 
Pep angekuwa serious na FA,asingepanga kile kikosi aisee.Sema aliipania Sana UCL mambo ndo hivyo yakawa tofauti.
Lakini licha ya kikosi kile kilicho cheza, Liverpool aliomba mpira uishe mapema kipindi Cha pili.Maana siyo Kwa moto ulee walio peleka Man city kipindi Cha pili. Kama shabiki WA Liverpool lazima usiamini amini kama umeshinda mbele ya city Kwa mechi inayo hitaji mshindi.
 
Yaani hapo imebakia kushinda tu mechi moja tu hiyo ya westham kutangaza ubingwa maana hata tukiwaachia Aston Villa mechi ya mwisho Liverpool hawezi kupindua goal difference ya magoli saba.
 
Aiseee mwaka Jana mlitolewa kirahisi kabisa ,ila Kuna kuku zimekaza fuvu "quadraple"[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ni muhimu kuweka akiba ya maneno. Kushinda makombe manne sio kitu rahisi kama mnavyofikiri. Hata kama timu iko vizuri kiasi gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…