Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Pole sana na majukumu ndugu. Mapambano muhimu sana.Mkuu mimi nipo ila tu majukumu napunguza muda wa kuwepo humu na nikiwepo nakua nyumbani kwangu tu muda wa ziada ndio naingia huku.
Kuhusu Lukanyavu subiri msimu unaokuja atadeliver tu. Tushapata tajiri mwingine kwa hiyo mambo yanaweza kwenda sawa kwenye transfer window
Inter hawawezi kumrudisha Lukaku na siona timu nzuri inayoelekea kumtaka Lukaku so obviously lazima tutakua naye msimu ujao na atakua hana budi ku pullup his socks.Pole sana na majukumu ndugu. Mapambano muhimu sana.
Ngoja tuone muda utasema kama kweli Erling ndio silaha yao kushinda Champion League maana ndio jambo lao kuu wanalokosa kwa sasa.
Lukaku mbona kama ana hamu kurejea kule Italy Inter Milan. Ingekua powa kama kweli mchukueni mpambanaji Martinez muwape Lukaku na pale dogo mtakua mmepata jembe.
YNWA
Dogo Martinez nimeangilia hizi mechi za mwishoni Serie A na nisema kabisa pale kuna talent aisee kama akitua Ethad au Barcelona pale wamepata jembe haswa.Inter hawawezi kumrudisha Lukaku na siona timu nzuri inayoelekea kumtaka Lukaku so obviously lazima tutakua naye msimu ujao na atakua hana budi ku pullup his socks.
Martineza ni mshambuliji mzuri ila tunaogopa yasije kututokea yaleyale ya mwanzo ya Lukaku
Toka tulipomkosa msimu uliopita roho yangu haina shida naye tena. Lakini nilikua na uhakika sisi ndio tungeweza kutrigger ile buying clause yake mwisho wa msimu huu ila changamoto tulizopitia ndio zimetufikisha hapa. Mwache aende
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kama nyinyi wenyewe mmeshindwa kumfunga city mnataka timu zingine ndio ziwasaidie kumfunga? Kila mtu ashinde mechi zake tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakutafutaa sanaaa.Tulimtuma Wolves amfunge City lakini kinacho tokea huko! [emoji1787][emoji1787][emoji1787], Mi nilipenda tu kwa sasa klop apumzishe wachezaji kwaajili ya UCL basi. Masuala ya kukimbizana na city hatuyawezi.
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wamepagawa, na UCL anachukua madrid.Sasa kama nyinyi wenyewe mmeshindwa kumfunga city mnataka timu zingine ndio ziwasaidie kumfunga? Kila mtu ashinde mechi zake tu.
Apumzishe asipumzishe sisi Madrid hayatuhusu, tunachojua ni kumtabdika LiverpoolTulimtuma Wolves amfunge City lakini kinacho tokea huko! [emoji1787][emoji1787][emoji1787], Mi nilipenda tu kwa sasa klop apumzishe wachezaji kwaajili ya UCL basi. Masuala ya kukimbizana na city hatuyawezi.
Ok, tuachane na hilo.
Nahitaji maoni yako kwenye hili! Tukiangalia Timu kubwa na zenye Uchumi mkubwa kama PSG, Real Madrid, Man United, Juventus, Liverpool, Barcelona na Arsenal (Tumtoe Chelsea kutokana na Changamoto)! Timu zioikuwa na uwezo wa Kumsajili Haaland na zingeamua kushindana na Man City basi Man City wasingempata lakini hazikuonesha nia yoyote ku-trigger Release Clause yake ingawa ni ndogo sana na wamemuachia Man City kumalizana naye bila ya ushindani wowote. Unadhani sababu hasa ni nini?
- Mimi niliwaza pengine Timu zilihofia kuhusu mshahara lakini nikaona kwahapo ni Liverpool to pekee ndiyo hawawezi kulipa mchezaji £350K au zaidi kwani Arsenal walimlipa Özil £350K per week hivyo nikaona sababu ya mshahara ni dhaifu.
- Pia nimewaza huenda sababu ikawa Timu bado zinahofia uwezo wake kuwa hajaprove Class yake.
Mkuu mi nadhani hapo ni mjanja kuwahi halafu uwe na offer ya maana pia mchezaji mwenyewe lazima aangalie anaenda kucheza na nani? Imagine eti Halaand akacheze na Morata sijui Elneny wakati huo kuna timu ina watu kama KDB, Silva, Gundogan imeleta offer.Ok, tuachane na hilo.