Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

salah kisaikolojia hayuko vizur toka atolewe afcon na world cup qualifications. expectations zake awe favourite kwa asilimia kubwa kushinda ballondior baada ya kushinda afcon na kufuzu kombe la dunia sasa amekuwa disappointed sana baada ya kushindwa kufanya vizur kwny timu ya taifa. cha msingi klop na jopo lake wakae nae na kumueleza aache kuwa bias kukimbilia individual awards zaidi ya timu. timu iwe kwanza hizo individual awards kwa sasa zitakuja zenyewe automatic
 
City ana draw kesho vs wolves na jpili vs Westham
hizi game mbili zilivyokaa wiki hii za ugenini city anaweza drop point hapo hope Gerald acheze dhidi ya city namna alivyocheza na sisi kunauwezekano mkubwa kati ya mechi tatu zilizobaki akadrop points cha msingi na sisi tushinde na kwa goli nyingi kupunguza hiyo gepu ya goal difference. maana namna upizani unavyozidi kuwa mkubwa usishangae mwishoni ikatokea bingwa anabeba kwa goal difference
 
2019 ilikua mwezi Mei Hahaha mambo ya kawa kama hiviiiiii yaaani 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Your browser is not able to display this video.



YNWA
 
Haya ni matamanio mkuu.Tusubiri match iishe tuone matokeo.
 
Na hili ndio liko kichwani mwake zaidi. Anajali sana individual awards ndo maana now zinampaa presha wala hapaform vzr. Maana tangu penati ya February akaja kuwafynga manure juzi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…