Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na akaweka historia kuwa mchezaji pekee kufikisha goli 20 bila penalti katika klabu hiyo ya Tottenham Hotspurs tangu kianzishwe
Huyu dogo Son sio wa pale Spurs basi tu ku negotiate na Daniel Levy ni mtihani sana hakuna klabu ina hamu na huyo Kipara Levy

YNWA
 
Na Spurs wanaweza kumtengenezea mazingira ya penalti au pasi ili afikishe goli nyingi kuvaa hicho kiatu. Pale mbele Spurs wanapendan sana na hawan ubinafsi. Kane lazima atahakikisha Son anafikisha zaidi ya goli 23
Unacho sema ni sahihi wanapendana balaa wale jamaa.
 
Hahhaha livscore Chugga bhana....

Utayari wa kikosi ndio utaamua hio gemu na tayari Don Carlos ameshaanza kuwapumzisha wachezaji wake muhimu wawe tayari hio fainali...

Ni tarehe 28 hivyo tuna siku za kutosha kutuweka sawa hio gemu.

Real Madrid sio under dog๐Ÿ˜๐Ÿ˜kawatoa ma heavy weight wote PSG, Chelsea, Manchester City yaaani huyo sio under dog aisee ni super heavy weight actually ni favourite...

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ