Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Kabisa ndugu inafika mahala unaangalia msimu ulipo unaangalia pia washindani wetu wa jadi kama Manchester United walipo na hakika hata hio nafasi ya pili unasema ni BIG UP JOB WELL DONE.Umeongea kimpira Sana mkuu ..Mimi kwa Sasa mukashinda nitawapongeza na mukipigwa Basi nitawapongeza pia ...
View attachment 2217391
Maisha bhana hivi 2013 huu utabiri ungetolewa kweli kuna shabiki angeafiki?
YNWA
ππππππππHiyo itabidi tuwapelekee kwao kule maana hawachelewi kukataa [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2217378
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bhana sie tutafunga muda wote ikitokea nafasi.
YNWA
Uliuangalia mpira vizuri jana lakini, au mahaba niue juu ya Salah ndiyo yanakutesa [emoji848][emoji28]Hebu toeni hayo magoli 22 ya Salah kwenye EPL ili tuhesabu kama hatuna Mchezaji anayeitwa Salah then pigeni mahesabu tungekuwa wapi sasa hivi?