Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,745
Game na westham ndio tunatangaza ubingwa ,...![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nenda kawape kombe kabisa, hata kuna muda mliwapa kombe manjesta United baadae upepo ukabadilika mkakimbilia kwa chelsea.
Kombe hawezi kupewa mpaka mechi ya mwisho ndio hawawezi kumpa saizi maana mechi bado na hawana uhakika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aririiiiiiiiiiiiiiiiiiihMwendo wetu epl tumemaliza tayari daah
Hongereni city maana jamaa wameanza kutoa dozi nzito
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nalutafuta wee mtu afu sikuoni.Klopp naomba asikilize maoni yangu, kwa sasa mechi ijayo apuumzishe wachezaji mhim kutokana na mechi ya Villarreal na Tottenham, Wachezaji wamechoka ili tuambulie hata FA na UCL. Kipara kwa sasa kumng'oa pale juu ni kazi aisee.
consistency ndio ilifanya points zikawa 14, baada ya kubaki 1 wenzetu hawatoi tena hata sare mpaka ligi inaisha hata kama ni mechi 7 zimebakiMkuu raundi ya pili ilipokuwa inaanza zilikuwa tofauti ya points 14 mpaka ikabaki 1, na sasa Hivi zimerudi 3,raundi ya 2 tumepata sare 3 wengine wote tumetoa kipigo , hakuna timu iliyofanya hivyo.
Unazungumzia consistency gani Mkuu.kilicho tugarimu ni wachezaji wetu wakutegemewa kuumia.
Huwa anatucost sana. Kuna mechi huwa tunamaliza mapema tu ila uchoyo wake unatuuaSalah kazingua sana leo hii kwa uchoyo, la sivyo hii mechi Liverpool wangeshinda mapema sana [emoji30]
huyu asipouzwa tusahau kubeba tena EPL,Huwa anatucost sana. Kuna mechi huwa tunamaliza mapema tu ila uchoyo wake unatuua
Kweli kama mechi ya jana ni yeye ndiye wa kulaumiwa.Huwa anatucost sana. Kuna mechi huwa tunamaliza mapema tu ila uchoyo wake unatuua
hii timu mchezaji mwenye consistency ni Allison peke yake, wengine inategemea na walivyoamka ndo maana % kuwa ya mafanikio ya hii timu ni Allison
yaan haki ya nan sane wa juzi juzi hapo miaka 19 unamleta jitu km gerald kichwa nazi kweli ww
Hii comment ngoja tuisave,kwa imani hii kweli upepo unaweza badilika.B
Bado sana mkuu hii ligi matokeo kupinduka ni mechi moja tu.LIVERPOOL BINGWA na hamta amini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmeshaanza kuweweseka? Na bado Benzema anawasubir huko.huyu asipouzwa tusahau kubeba tena EPL,
hii timu mchezaji mwenye consistency ni Allison peke yake, wengine inategemea na walivyoamka ndo maana % kuwa ya mafanikio ya hii timu ni Allison
consistency ndio ilifanya points zikawa 14, baada ya kubaki 1 wenzetu hawatoi tena hata sare mpaka ligi inaisha hata kama ni mechi 7 zimebaki
2019 tuliongoza kwa 10, zikaporomoka poromoka mpaka tukapitwa wakabeba
tukubali kina Mane, Salah , firmino nk hawawezi kukupa kiwango kizuri mechi 35 za EPL wanapokezana kuporomoka na hakuna wa kuwareplace, hii inachangia timu kukosa consistency
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aririiiiiiiiiiiiiiiiiiih
Upooo? Na bado mnapigwa UCL. weuweeeeeeeh