Timu inayobeba UEFA ni ile iliyokamilika kila idara, Madrid hana sifa za kubeba kombe mbele ya Liver iliyokamilikaKwa njia waliyopita Madirid kufika fainali kweli wanstahili hili liUEFA ..
ninyi liverpool muna maoni gani?
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]View attachment 2212700
Sasa Lembua ndio nini hiki unaandika?Real Madrid vs Chelsea 5-4
Real Madrid vs City 6-5
Real Madrid vs Liverpool 7-6 (nadhani zitakuwa penalti)
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji tu
RM kashamalizana na Laliga ana usongo na UCL, kaeni macho sana hiyo 28 May 2022
Chelsea alibeba ubingwa mbele ya Bayern iliyokamilika Kila idara .. fainali Haina mwenyewe ndogo wangu.Timu inayobeba UEFA ni ile iliyokamilika kila idara, Madrid hana sifa za kubeba kombe mbele ya Liver iliyokamilika
Unacho sema ni sahihi mkuu, ila tutajitahidi kupambana.Chelsea alibeba ubingwa mbele ya Bayern iliyokamilika Kila idara .. fainali Haina mwenyewe ndogo wangu.
Ukicheki namba Madrid wamefika fainali inashangaza sana.
Hii liver ni bora Sana na Kila mtu anajua, Ila fainali ni mechi nyingine tofauti sana
The only Pep win UCL with an English side ππππππππππππππππππ₯π₯π₯π₯
Naiona fainali isiyo na ladhaYaani benchi lilikuwa jeupe kama kipande cha muhogo
Embu tazama benchi la sasa
HENDO, TSIMIKAS, DIAS, BOBBY, MATIP, GOMEZ, ORIGI, JONES.
Dadeki hapo hata uje na uchawi kutoka kongo na Mto zambezi.
Kabisa fainali haina mwenyewe inategemea na mind set ya wachezaji watakaopata bahati kucheza, sitegemie kabisaaa tuingie uwanjani kama juzi kule Valencia kipindi cha kwanza yaaani Madrid watatumeza mazimaaaaaaa.Chelsea alibeba ubingwa mbele ya Bayern iliyokamilika Kila idara .. fainali Haina mwenyewe ndogo wangu.
Ukicheki namba Madrid wamefika fainali inashangaza sana.
Hii liver ni bora Sana na Kila mtu anajua, Ila fainali ni mechi nyingine tofauti sana
Bora mkutane na Man City, itakuwa fair challenge. Madrid mtamuonea aisee!!
Na Guardiola akiacha ku overthink, he stands a chance.
#IMAGINE BEING YOU
Pole sanaReal Madrid vs Chelsea 5-4
Real Madrid vs City 6-5
Real Madrid vs Liverpool 7-6 (nadhani zitakuwa penalti)
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji tu
RM kashamalizana na Laliga ana usongo na UCL, kaeni macho sana hiyo 28 May 2022
Pain killer has killed by painView attachment 2212965
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pain Killer atakua kalazwaaa hukoooooo.
Sasa tutaelewana tu.
YNWA
Nlimwambia akabisha hakunisikia aliona kama vile timu yake ni bora sana akasahau kuwa wale ni los Blanco'sView attachment 2212965
πππππππππ Pain Killer atakua kalazwaaa hukoooooo.
Sasa tutaelewana tu.
YNWA
Match pekee aliyocheza ni ile 3-1 against Chelsea darajan , baada ya hapo hakuna alilokuwa anafanya na sio kwamba natamani liverpool Kuchukua CL ila Madrid Hana hadhi ya Kuchukua CL kwa mpira ule [emoji28]Nlimwambia akabisha hakunisikia aliona kama vile timu yake ni bora sana akasahau kuwa wale ni los Blanco's