Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Binafsi final ya Uefa naiona ni 50/50, Real madrid hawakuwa favourite toka mwanzo ila wameonesha utofauti ni wababe wa ulaya, watu wa Liverpool mjiandae kwa matokeo yoyote, ukiangalia Liverpool & City ni timu zilizo kwenye daraja moja kwa ubora, utofauti City wanahitaji perfection zaidi kwenye system kuliko Liverpool. Real Madrid kupoteza final ya Uefa itahitaji Liverpool kuwa na ubora mkubwa zaidi.
 
I can feel your pain mr pain killer.
 
Bendela fata upepo hamaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wewe unakaribishwa....TATIZO LAKO NI MOJA TU,HUWAHESHIMU WAZEE WALIOPO KATKA JUKWAA HILI...HILI NI JUKWAA PEKEE LENYE WAZEE WASTAARABU WANAOCHAMBUA SOKA SAAAAFI KABISAA...ila wewe unajitia kiburi...ONA SASA LAANA ZAO ZIMEKUANGUKIA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Njia za panya kivipi? Wewe ungepangiwa na Bayern angekuwa kakutoa zamaaani lakini huyo Villarreal unae msema ni europa kamtoa bayern alafu unasema tumepita kwa janja janja hamna lolote nyie.
 
Yani unaonyesha kabisa kichwa kimebeba boga, kazi ya wanaume wavulana hawawezi.YNWA[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Kwahiyo unajifariji kuwa Liverpool amepitia njia rahisi kufika fainali?Hivi umejishahaulisha kuwa Villarreal alimtoa Bayern Munich ambaye huwa kwako Ni mbabe na pia hujui kwamba Liverpool amefika fainali FA kwa kumtoa Man City?kwa maana hiyo Ni sawa na kusema kwamba Kama Liverpool huwa anapangiwa nusu fainali timu nyepesi Basi City na Villarreal zote Ni timu nyepesi maana zote zimetolewa na Liverpool kwenye nusu fainali mbili tofauti au ulidhani refa wa Jana angekuwa Ni Yule aliyechezesha mechi yenu ya epl na Everton
 

Haya pia ni maajabu ya Dunia! Umeweka emoji za Kucheka wakati umeandika huku unalia kwa kukumbuka maumizi aliyokupatia Sheikh Mufti Al-Haji Ustaadh Karim Ibn Benema.

Anyway! Kucheza na Vellareal unaimba kama kwamba ni Kosa la Liverpool wakati hatukuwatuma Juventus na Bayern Munich wapoteze dhidi ya Villarreal.


Pole sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…