You Will Never Walk AloneWe are Liverpool
One voice
TunapitaViungo wote wa liver wamepotea kwa style hii tegemeeni maumivu sioni ni namna gani Liverpool akipita hapa
Mimi mshabiki wa Chelsea lakini naamini Liverpool atapita kipindi cha pili na namtakia kila la heriMashabiki wa Arsenal, Man u na Chelsea wote wamehamia huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuta comment wapi na jukwaa la Villarreal hakuna?Mashabiki wa Arsenal, Man u na Chelsea wote wamehamia huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu Keita leo naona amevibiwa futari yaaani yeye na Salah hawarudi nyuma kusaidia defensive duties nwa ngoja tuone maana kikosi kizima kipindi cha kwanza hawakua kazini wamewapa Villarreal gemu nyepesi sana mpaka magoli yanarudi.Kitu pekee anachokiomba Captain wetu ni kuwa Keita kuwa Majeruhi, Kwa Thiago hakugusiki, kwa Fabinho ndiyo hata kupaangalia ni dhambi, Keita ndiyo huyo anarudi kwenye ubora wake na kuyakimbia Majeruhi! Mbona mwaka huu atanyanyua Kombe kutokea Benchi!! 😂😂
wanajua hawana wakipiganiacho msimu huu 😂Mashabiki wa Arsenal, Man u na Chelsea wote wamehamia huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msimu gani nakati Chelsea mwaka huu huu kashachukua world club champions [emoji848][emoji28]wanajua hawana wakipiganiacho msimu huu [emoji23]
Kweli kabisa Villarreal wanacheza sana rafuHuyu Babu Raul asipokuwa makini this second half anaweza kula kadi nyekundu kwa rough mbaya anazozicheza vs Mane.
Asante Mkuu.Poleni sana
Shida ya Liverpool ni moja, nilicho gundua inapenda sana kuridhika angalia Vs Benifica kwakua ilikuwa inaongoza ikaruhusu magoli yote yale. Na leo tulifikiri kwakuwa tumesha watandika goli mbili game itakuwa ya kawaida sana, sasa subiri second Half ndio tunakuja kucheza mpira unao eleweka ila sasa na Villarreal sio wepesi hao.Badala ya kumuweka Henderson pale katkat kuvikata anawaweka akina keita[emoji23][emoji23][emoji23] Klop bna