Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bangi inachelewa kuhalalishwa sababu ya mambo zako za ajabu
 
Diaz msumbufu hakupaswa kuanzia bench
Hapa naona Klopp kaangalia pia mechi ya Tottenham Jumamosi...

Au pengine kaona Diaz aingie wakiwa wamechoka Villarreal alete aamsha.

Uzuri Uefa ina sub 5 hivyo panapobidi Klopp atafanya sub wakati sahihi.

YNWA
 
Sijawahi ona VVD aanza bench

🤣🤣🤣Wewe komeo lile haha huwezi kulala mlango wazi ukabaki salama.

Liverpool ni VVD, Fabinho, Allison, Salah hao ndio nguzo kuu ya hii klabu yetu pendwa in terms of influence uwanjani in big games...

Alikula benchi nadhani FA msimu huu kuna gemu hajacheza.

YNWA
 

Weka na Atletico na AC Milan hapo ili na wewe uwe umeungana na sisi kwenye Europa pale ulipocheza na Atletico.
 
Game ipi hajacheza VVD?
Sijawahi Iona😂😂
Kwa kweli kikosi kimekamilika.
 
Diaz msumbufu hakupaswa kuanzia bench

Nahisi kwasababu ya kupoteza last game Villarreal leo watafunguka that's why Klopp kamusnzia Jota kama Striker instead Diaz ambaye ni Funguo kwa Timu inapocheza low block.
 
Niwakumbushe tu wana liver wenzangu. Milner ni mchezaji wetu 2022/2023. Tako yake ndio ilitupatia goli vs newcastle.
 
Kikosi ndio hiki... Mnasemaje wakuuu

View attachment 2210280
Subs: Kelleher, Milner, Gomez, Henderson, Oxlade-Chamberlain, Jones, Minamino, Tsimikas, Diaz, Origi, Matip, Elliott.

YNWA

Kitu pekee anachokiomba Captain wetu ni kuwa Keita kuwa Majeruhi, Kwa Thiago hakugusiki, kwa Fabinho ndiyo hata kupaangalia ni dhambi, Keita ndiyo huyo anarudi kwenye ubora wake na kuyakimbia Majeruhi! Mbona mwaka huu atanyanyua Kombe kutokea Benchi!! 😂😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…