Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Anfield kumenoga sana jamani duuuh

Its good moments to be a Red.

Ni wakati wetu.

Tupo hatupoi.

YNWA
 


Wakuu huyo dogo mnasema aje atue kimya kimya kama Fabinho baada ya Fainali ya Champions League pale Ufaransa tumalize kila kitu kule kule.

Huyu ni dynamic Midfielder anacheza DM, HM, CM, AM hivyo ni kiraka haswaaa.

Kama akiamua kwenda Real Madrid ningependelea tushuke mazima kwa Gallagher wa Chelsea.

YNWA
 
Gallagher😳😳😳
Apo weka mbali na watoto
 
Meneja wa Wolves Bruno Lage kuhusu Ruben Neves anayehusishwa na Man United na Arsenal:

“Tunahitaji kuwa tayari kwa kila kitu. Mchezaji kama Ruben Neves ana thamani ya pauni milioni 100. Lolote linaweza kutokea, si kwa Ruben pekee.”

£100M [emoji16]


Kuna Team inaenda kupigwa na kitu kizito hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Manure marahii watapigwa kwa Haaland.
 
Kama naanza Kujenga Imani na Pep Lijnders kumrithi Klopp after his time at Liverpool is over.
Bwana hata Klopp mwenyewe anasema wasaidizi wake akiwemo Pep Lijnders walisaidia sana yeye kuamua kuongeza mkataba na kwa namna ambavyo Klopp anam heshimu bila shaka anastahili kua mstari wa mbele kabisa kumridhi Klopp muda ukifika.

Pep is learning from the best in the game ukichanganya na ujuzi wake wa ku pointi vipaji na network yake ya ma scout sana sana Ureno na Uhispania nk mbona anatufaa.

YNWA
 
Gallagher😳😳😳
Apo weka mbali na watoto
Huyu mtauza tu hakuna namna maana pale kati mna wachezaji wengi tu sasa unadhani huyu anakuja kukaa benchi huku Jorginho, Kovac, Kante, Mount nk wakipata dakika zaidi..

Yaaani naona mnajipedekeza kwa Declan Rise wa Westham wakati mnachezaji safiii kabisa Gallagher ila ndio powa ili dogo atue Liverpool 🙈🙈🤭🤭😂😂

Ngoja tuone ndugu.

YNWA
 
Joginho na kante wapo ova 30 years hatuwezi kumuuza Callager
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…