Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Liverpool hutoka kwenye Makundi au kwenye 16 Bora, haina Utamaduni wa kutolewa Semi Fainal.
Kikubwa tujipange namna ya kumuadhibu Real Madrid kwenye Fainali.
Hivi hili jukwaa unadhurula la nini wakati msimu huu umeshindwa kutufunga katika 3 games tulizochezaYule mwambia wa wasafi aliyetabiri live kuwa villareal anamtoa buyern ,Leo kasema Tena bila kupepesa macho kuwa Liverpool anatolewa na villareal [emoji28][emoji28]
Maake kwanza nicheke kidogo
Wapare mumevamia uzi[emoji23]Osiiie, hii vyedi watu wameilewa kweli? [emoji1]
Na wasambaa [emoji1]Wapare mumevamia uzi[emoji23]
man city angekua na game ngumu weekend ingekua poa sana, maana asingeweza kuweka full mkoko.......
hata hivyo sio vibaya, wametumia nguvu nyingi sana
Villareal lazima afe tu apende asipendeWazee mkeka wangu umebaki Liverpool tu. Uhakika wa ushindi plus goli 2+ upo?
Kama hakueleweki ni cash out kabisa.
Uchambuzi bora sana..Unai Emery itambidi awe technically secure mechi ya leo, Liverpool ina transitional threats Mane, Luis Diaz & Salah, kuwazuia inabidi usicheze risky footie instead awaache Liverpool washambulie thru settled attacks, so may be akiplay back 5 na akaobserve positional discipline & compactness kwenye last defensive line inaweza kupunguza idadi ya magoli may be, then asubiri 2nd leg labda home atmosphere itambeba, may be, so Unai Emery be patient & humble, never rush utaumia.
Game ya City v Leeds itakuwa maana, City tie yao Bado Ni ngumu.
Madrid anaitaj draw pekee atwae ubingwa so anaweza akapumzisha key players wake wengi ili kutunza nguvu kwa ajili ya 2nd leg.!
City anawaza akipumzisha anaweza kukosa vyote Yani EPL na UCL..
Tuombe MUNGU leo tushinde nyingi ili tuwe na mzigo mwepesi 2nd leg though Villarreal sio wepesi kivile
Hii kupumzisha wachezaji hua lina matokeo mchanganyiko. Kwa mfano wekedi hii iliyoisha unajua hawakucheza Real Madrid gemu yao ilistishwa kuwapa muda kujiadaa na gemu pale Ethad matokeo yake wamepigika.Game ya City v Leeds itakuwa maana, City tie yao Bado Ni ngumu.
Madrid anaitaj draw pekee atwae ubingwa so anaweza akapumzisha key players wake wengi ili kutunza nguvu kwa ajili ya 2nd leg.!
City anawaza akipumzisha anaweza kukosa vyote Yani EPL na UCL..
Tuombe MUNGU leo tushinde nyingi ili tuwe na mzigo mwepesi 2nd leg though Villarreal sio wepesi kivile
Hahaha duuuh unajua ndicho kilichomkuta Bayern Munich aisee yaani yule Kapteni wa Villarreal ni beki nadhani ana miaka 36 hivi lakini jamaa alikua kisiki huku akitoa maelekezo kwa wale makinda anaocheza nao pale nyuma...Unai Emery itambidi awe technically secure mechi ya leo, Liverpool ina transitional threats Mane, Luis Diaz & Salah, kuwazuia inabidi usicheze risky footie instead awaache Liverpool washambulie thru settled attacks, so may be akiplay back 5 na akaobserve positional discipline & compactness kwenye last defensive line inaweza kupunguza idadi ya magoli may be, then asubiri 2nd leg labda home atmosphere itambeba, may be, so Unai Emery be patient & humble, never rush utaumia.