Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Kwa sasa hivi yeye na ox wameshaanza kujitenga na kikosi cha kwanza hakuna namna lazima waondoke tu.

Sasa hivi kama wachezaji hawaumii Milner hana kazi tena hapo Liverpool maana yeye anakuwaga kilaka.

Naikumbuku sana hiyo mkuu.bila lile goli Chelsea wasingerudi mchezoni.
 

Kwenye Hizo mechi goli kurudi ilikuwa ni halali kabisa, tulikuwa hatuna wachezaji wakuzuia wakufunga wapo .

Yaani mido yupo milner Jones ox na Henderson yaani tusifungwe yaani hiyo draw tushukuru.

Kumbuka sisi Liverpool kufungwa au kushinda ni hapo kati wachezaji wakutegemewa wote wawepo hapo ni uhakika tukifungwa njoo tulalamike hapa.

Kuna mechi na Brighton ilifika mahali unatamani ufanye sub lakini ukiangalia bench hapo nje hakuna mchezaji wa maana anaweza kubadilisha matokeo wengi walikuwa watoto,me hata sikumlaumu Klopp najua sasa angefanyaje? Na wachezaji hatuna wakutegemewa wote wameumia.
 
Ndio naona hapa uwaki aliotufanyia.
 
Bhudhaah unaijua Real Madrid mbele ya UCL au unaisikia tu hehehe ila sawa nakuombea upite Madrid ndio wanajua figisu za UCL mwanzo kati na mwisho


Pambana sana
 

Mkuu kwa sisi tunaofatilia mechi kuna mechi kabisa unaona city leo anashinda goli nyingi,

Mechi na Watford ilikuwa iko wazi city anashinda tu,ilikuwa haina ugumu wowote hamfunge wolves au westham na Newcastle .akicheza na hizo timu anapata ushindi kipindi cha pili na kwa taabu sana.

Ushindi wake wa kipindi cha pili na kwa taabu sana ndio mimi unanipa wasiwasi sana kwamba hatapoteza tu

Tofauti na sisi ,sisi tunaonekana tunauwezo sana kuanzia raundi ya pili imeanza hakuna kupoteza mechi hata kwenye Epl.
 
Bhudhaah unaijua Real Madrid mbele ya UCL au unaisikia tu hehehe ila sawa nakuombea upite Madrid ndio wanajua figisu za UCL mwanzo kati na mwisho


Pambana sana
Madrid anafigisu gani ,....!

Timu nzima ni benzema,...!

Harafu inacheza na timu ya wachezaji 11 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana umeshinda kipindi Cha ngapi mbele ya Everton ?

Mzee usifikili mpira ni kubwabwaja maneno ,hakuna game rahisi kabisa na usifikili makocha hawajui ....hao kina klop & pep maneno wanayoongea dressing room kuwasisitiza wacheza ni hatariiii ....


Jana tu umeona first half 0-0 klop alivokimbia dressing room?

Huko ndani Kuna maneno mazito zaidi hata matumain hewa unayojipa hapa .....


Keep watching Hadi may 22
 
Madrid anafigisu gani ,....!

Timu nzima ni benzema,...!

Harafu inacheza na timu ya wachezaji 11 [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya bhana wewe jifariji hivo hivo ila REAL MADRID mbele ya UCL ni habari nyingine kabisa

Achana na wao kuchukua kombe hilo mara tatu mfululizo

Nadhani wao ndiyo timu ya kwanza kufika Final nyingi la UCL achana na hilo

Achana na ila Final dhidi ya ATM goli la RAMOS dakika za lala salama


Achana na ile kibao cha Bavarians

Madrid ni team hatari hasa UCL.


Makosa yapo hata nyie city mnamakosa mengi sema usahihishaji wa haraka ndio unaowasaidia tena ni vile hayupogi mshambuliaji wa makini vinginevyo mna bahati nzuri tu


Ila pambana tukutane final japo hata mimi sijui kama nitafika
 
Ooooh astionvilla atawasiamamisha ,nyie wenyewe mna game na villa ,na yupo nafasi ya 15 huko akizubaa atajikuta 18 ....

Mar ooh wolves hawachomoki ,nyie wenyewe mna game na wolves ,kwa hiyo nyie mataenda kuchukua point tatu bure ,huwa nabaki nacheka [emoji23]..

Mara ooh watakutana na Newcastle ngumu ,hata nyie Newcastle mnaenda kukutana nae jumamosi tu hapo ,Sasa sijui nyie ndio mnaweza kumfunga pekee yenu [emoji23]....


Mara ooh westham atawasiamamisha na sisi ndio tutawapita hio point Moja ,utafikili wenyewe hawana Spurs Tena inatafuta top four zaidi ya simba mwenye njaa [emoji23][emoji23]...!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…